Eazy Credible
New Member
- Jun 19, 2026
- 1
- 1
Wadau wa burudani na wapenzi wa Hip-Hop/Melodic Rap ya ukweli hapa nchini, mambo vipi!Leo naomba kuwasogezea kazi zangu mpya kutoka kwa msanii anayechipukia kwa kasi kutoka pande za Arusha, Eazy Credible.
Amekuja na ladha ya tofauti kabisa yenye ujumbe wa kusisimua na midundo ya kisasa inayofanya vizuri kwa sasa katika nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania na Nigeria.🎵 1. Am Alive (Inspirational/Motivation Rap)
2. Hapa ni wapi (Hardcore Drill/Hip-Hop)
Unaweza kusikiliza mchanganyiko wa ngoma zake pamoja na hit songs zingine kubwa za Bongo Flava na Amapiano kupitia Playlist yake rasmi ya 'EAZY RHYMEZ' ndani ya Audiomack.