Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

Mkuu, hebu nidadavulie hayo mashimo ya maji taka yasiyojaa, ninayahitaji sana.
Nipe bei ya vifaa vinavyohitajika na bei ya ufundi.
Kuna bei ulikuwa unaweka hapa lkni haieleweki ni jumla pamoja na vifaa au vipi, zingatia mazingira ya sasa watu hawana hela, tumepigika kishenzi, ukiona mtu anajenga sio kwamba anahela nyingi, inabidi ushirikiane naye ili maisha yaende.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…