Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

Ni kama aliyejenga ikulu mpya Dodoma
 
Chumba self jiko sebule msingi mpaka lintel ufundi bei gani
Ha ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23] boss naomba nimjibie fundi [emoji23][emoji23][emoji23].

Hapo itabidi aje site kuona kwanza location ya ujenzi ndipo aweze kukadiria gharama.
 
Ha ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23] boss naomba nimjibie fundi [emoji23][emoji23][emoji23].

Hapo itabidi aje site kuona kwanza location ya ujenzi ndipo aweze kukadiria gharama.
Kiwanja tambalale bwana
 
Kazi ziendelee
Boss nikuambie tu ukweli,
Wewe unaweza kua ni fundi mzuri ila shida yako ni moja tu, HAUSHINDI SAITI. Labda sababu una kazi nyingi hivyo unashindwa kujigawa lakini tatizo la wewe kama wewe kutokushinda saiti unalo.

Sintoandika mengi sana hapa lakini jaribu kurekebisha hii hali. Usiwaamini sana vijana wako wafanye kila kitu. Boss akikuona wewe saiti anapata imani zaidi kuliko kila akija anakuta vijana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…