Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

Mkuu naomba unisaidie. Kuna huu mti wanauita mloliondo unatumika kwenye kutengeneza milango, ni hardwood. Nimejaribu kupata jina lake lwa kiingereza nashindwa. Unaufahamu?, na ubora wake ukoje
 
Nahitaji kufanya marekebisho ya sebure na dinner kuongeza ukubwa ila nimepauaaa ila sio kesi kurekebisha sehemu hiyoo
 
Nahitaji kufanya marekebisho ya sebure na dinning kuogeza ukubwa ila nimepauaaa ila sio kesi kubomoa sebure na kufanya nachohitaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…