Fundi mahiri wa ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 4,159
- 2,844
- Thread starter
- #701
Karibuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mafundi ujenzi mahiri wa majengo ya kuishi, majengo ya biashara na majengo ya ibada. Kazi inafanywa kwa ubora wa viwango vya juu. Gharama zetu ni nafuu kulingana na uchumi wa mtanzania.
Pia, tunafanya marekebisho ya Nyumba zenye muonekano wa kizamani kuwa na muonekano wa kileo/kisasa. Kazi zinakamilika kwa wakati kwa mujibu wa makubaliano.
PIA, TUNATENGENEZA MFUMO MAJI TAKA AMBAO HAUJAZI MASHIMO YA VYOO KAMWE.
Tunapatikana Dar es salaam. Pia, unaweza kutupata Instagram kama 'PAUL BUILDING AGENCY'
UTARATIBU WA KAZI
Paul building agency Ina taratibu za aina mbili katika ufanyaji kazi, ambazo ni kama ifuatavyo:-
1. Mwajiri atanunua materials yote na fundi kazi yake nikufanya shughuli za ujenzi tu.
2. Mwajiri na fundi wataingia mkataba ambao lazima usainiwe na mwanasheria . Ambapo fundi atanunua materials yote kwa mujibu yamakubaliano ambayo yapo kwenye mkataba.
Mawasiliano.
0655173113
Whatsap 0655173113
Barua pepe:
paulbuildingagency@outlook.com
pmoses951@gmail.comView attachment 1754237View attachment 1771884View attachment 1771888View attachment 1771901View attachment 1774023View attachment 1774028View attachment 1774028View attachment 1774074View attachment 1774077View attachment 1786604View attachment 1792020View attachment 1792077View attachment 1797879