Kutana na fundi rangi, kuna mengi ya kujifunza

Kwenye kuremba kila mtu ana mwonekano wake anao pendezwa nao.
Ila hizi material zinazotokana na chenga za mawe ikiwemo hiyo conmix wengi wanazipenda kuliko hizi za kawaida, japo ni aghali kidogo ukilinganisha na tangi za maji kama vile weather guard na Silk.
 
Kai nzuri
 
Shukrani sana ndugu.
 
Ni jukumu letu kuyajenga makazi yako. 0766111212
 
Kazi nzuri sana..

Ila sasa tutajuaje kama ndiyo mkono wako for real? Maana siku hizi watu wanadownload mapicha mtandaoni tuu kisha wanajibrandisha[emoji4]
Kwakweliii... Kuna picha hyo yenye mnazi nishawahi kuona sehemu.. Na nikaipenda nikadownload.. Kitambo kidogo
 
Habari ndg, nisamehe kuna wakati hekaheka ya kazi inakuwa nyingi mno, naamini tuliwasiliana. Nisamehe tena na tena.

Sent from my SM-N985F using JamiiForums mobile app
Ndg sehemu kubwa ya kazi zangu zina historia. Chukua picha yoyote kwenye picha bazo nimeweka hapa mimi nitakupa historia yake, yaani picha kabla.

Sent from my SM-N985F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…