Kutana na fundi rangi, kuna mengi ya kujifunza

Kutana na fundi rangi, kuna mengi ya kujifunza

Kwenye kuremba kila mtu ana mwonekano wake anao pendezwa nao.
Ila hizi material zinazotokana na chenga za mawe ikiwemo hiyo conmix wengi wanazipenda kuliko hizi za kawaida, japo ni aghali kidogo ukilinganisha na tangi za maji kama vile weather guard na Silk.
 
Ndungu zangu kipekee nimekuwepo hapa JF kwa miaka zaidi ya 6 nimejifunza mengi kuhusiana na baadhi ya bidhaa za rangi za majengo. Hapa nitakuwa nikionesha kazi zangu, naacha nafasi ya kuuliza maswali nami nitakuwa najibu punde nipatapo muda.

Zaidi ni changamoto za rangi kubanduka pamoja na fungus, lakini pia kuna hatua za upakaji rangi, ni vifaa vipi sahihi utumie pamoja na makampuni ya rangi.

Utanipata kwa no 0766111212.

View attachment 2324877View attachment 2324878View attachment 2324880View attachment 2324881View attachment 2324882View attachment 2324884View attachment 2324885View attachment 2324887
Kai nzuri
 
Hii pia ni stone paint, 90% ni mawe yaliyosagwa, hapa kwetu inamajina tofauti kama vile Conmix,Wallmaster, Terast, Decor plaster, Rough Plaster, na mengine mengi kwani kila mtengenazi na jina lake. Mimi napendekeza hii, kwani hata ikiwa imepauka unaweza kupaka rangi ya kawaida juu tofauti na ile ya upele. Zote ni rafiki na unyevunyevu na mwonekano wake nimzuri na wa kuvutia tofauti na rangi ya kawaida.View attachment 2349836View attachment 2349839View attachment 2349841
Shukrani sana ndugu.
 
Kazi nzuri sana..

Ila sasa tutajuaje kama ndiyo mkono wako for real? Maana siku hizi watu wanadownload mapicha mtandaoni tuu kisha wanajibrandisha[emoji4]
Kwakweliii... Kuna picha hyo yenye mnazi nishawahi kuona sehemu.. Na nikaipenda nikadownload.. Kitambo kidogo
 
Habari ndg, nisamehe kuna wakati hekaheka ya kazi inakuwa nyingi mno, naamini tuliwasiliana. Nisamehe tena na tena.

Sent from my SM-N985F using JamiiForums mobile app
Ndg sehemu kubwa ya kazi zangu zina historia. Chukua picha yoyote kwenye picha bazo nimeweka hapa mimi nitakupa historia yake, yaani picha kabla.

Sent from my SM-N985F using JamiiForums mobile app
 
Mfano kamili ni hili jengo unaweza kuona, lilijengwa mwenyewe akachukia mwonekano, lakini tukalipa mwonekano mpya, tazama picha ya kwanza mpaka ya mwisho
Screenshot_20221025-200257_Gallery.jpg
Screenshot_20221025-200305_Gallery.jpg
Screenshot_20221025-200317_Gallery.jpg
Screenshot_20221025-200323_Gallery.jpg


Sent from my SM-N985F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom