Kutana na fundi rangi, kuna mengi ya kujifunza

Ndg zangu leo nawaletea Rough Plaster, ni Materials ambayo nnimezalisha mwenyewe hapa Tanzania. Kampuni yangu inaitwa Mimina Co Ltd.


1. Conmix
2. Wall Master
3. Rough material
4. Rough Plaster

Haya ndo majina yaliyo zoeleka.

Ya kwangu ipo kwenye ndoo, ujazo ni 30kg na ndoo 1 inaweza kupaka ukubwa wa 8sqm. Bei ni tsh. 80,000.

Za makampuni mengine wanauza kari ya 110,000 mpka 130,000

Project kubwa ambayo nimefanya ni Marijani Hotel iliyopo Pwani Mchangani Zanzibar.

Utanipata kwa no hii. 0766111212


 
Hongera sana uko vzuri, karibu Moshi
 
Samahani ndg zangu kichwa cha habari ni jengo lako.
 
mkuu 8sqm?????? au umekosea??? inamaana ndoo 3 naweza kupaka kibanda changu na kikaisha
 
vvip jwa nyumba za contemporary ipi inazuia ukuta kuloa maji

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Contemporary haina shida ikiwa water proofing imefanyika vizuri, tatizo mafundi wengi bado hawazielewi vizuri, na shida nyingine kubwa wajenzi wanakwepa gharama za utaalam kama vile ma Architect na ma Engineer.
 
Contemporary haina shida ikiwa water proofing imefanyika vizuri, tatizo mafundi wengi bado hawazielewi vizuri, na shida nyingine kubwa wajenzi wanakwepa gharama za utaalam kama vile ma Architect na ma Engineer.

Hii unapaka ukuta ukiwa na plasta nyingine au hata tofali tu
 
Hii unapaka ukuta ukiwa na plasta nyingine au hata tofali tu
Ndg hapa Tanzania tuna changamoto ya wauzaji wa tofali, walio wengi Moulding za kupigia tofali hazina vipimo sahihi ndiyo maana wajenzi wanazingatia uso wamele tofali zilingane lakini nyuma hazilingani.

Hivyo kwa msingi wa swali lako ni vyema kutumia ukuta ambao umepigwa Plaster, lakini kama umekwisha paka rangi ya kawaida hakuna shida unaweza kuweka hiyo Rough Plaster.
 
Natoa ushuhuda, nimetumia product zako. Uliniletea na gari yako nyekundu. Nimepaka kwenye fence yangu imependeza sana. Nitakutafuta tena project zijazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…