Fundi rangi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2014
- 3,527
- 1,210
- Thread starter
-
- #61
Waaoo nakushukuru sana Ndg. Natamani kukufahamu.Natoa ushuhuda, nimetumia product zako. Uliniletea na gari yako nyekundu. Nimepaka kwenye fence yangu imependeza sana. Nitakutafuta tena project zijazo.
Huu ni Mradi mkubwa ambao tumefanya, ni Marijani Hotel iliyopo Zanzibar ambayo tulifanya finishing majengo yote nje kwa kutumia Rough Plaster ambayo tumezalisha wenyewehapa Tanzania.Waaoo nakushukuru sana Ndg. Natamani kukufahamu.
Hakika utaufurahia mwonekano wa Rough Plaster. Utatupata kwa no 0766111212 .Huu ni Mradi mkubwa ambao tumefanya, ni Marijani Hotel iliyopo Zanzibar ambayo tulifanya finishing majengo yote nje kwa kutumia Rough Plaster ambayo tumezalisha wenyewehapa Tanzania. View attachment 2209187View attachment 2209188View attachment 2209189
Wasiliana nami kwa WhatsApp nitakutumia video za kazi. 0766111212Hili jengo kama unavyoona tumelifanyia finishing kwa Rough Plaster View attachment 2209874View attachment 2209875
Karibu ndg, ukweli ni kwamba mafundi rangi wanaoweza kutumia hii material ni wachache, na hao wachache wanaoweza kupaka ukaifurahia ni wachache.Na vipi kuhusu mafundi?
Ni lazima watoke kwako au hata Hawa wakawaida wanaweza kutumia hiyo materials ?
Ndiyo ndg, huna haja ya kufanya skimming.Hii inatumika baada ya plasta ya kawaida kukamilika au?
Ndg hii ya kwangu ina rangi moja tu, ukishapaka unapaka rangi juu unayotaka, na kusudi la material hii si kukwepa skimming..la..hasha, bali kukwepa adha ya rangi kubanduka na kushambuliwa na unyevunyevu yaani fungus, lakinipi kuepuka gharama za kupaka jengo lako kila wakati.Sorry kiongozi... zinakuwa za rangi tofauti tofauti au hiyo rangi napaka mwenyewe!?
Maana yake hii pia inaondoa gharama za skimming na kupaka rangi!??
Ndg hii ya kwangu ina rangi moja tu, ukishapaka unapaka rangi juu unayotaka, na kusudi la material hii si kukwepa skimming..la..hasha, bali kukwepa adha ya rangi kubanduka na kushambuliwa na unyevunyevu yaani fungus, lakinipi kuepuka gharama za kupaka jengo lako kila wakati.Sorry kiongozi... zinakuwa za rangi tofauti tofauti au hiyo rangi napaka mwenyewe!?
Maana yake hii pia inaondoa gharama za skimming na kupaka rangi!??
Ndg naomba nitoe uelewa kidogo, kwanza kabisa hii material hapa nchini ilikuwa inotoka Kenya wakati huo hapa ilijulikana kwa jina la Wallmaster, hii ilikuwa kwenye mifuko, badae wakaanza kuleta Nabaki Africa wao wakawa wanaiita Conmix, na hii yakwao ni ya mifuko...sasa makampuni yakaona hii ni biashara, Spanish Tiles, nao wakaleta ya ndoo, wao wakaiita Decor Plus, badae kampuni ya Aqur Deor nao wakaleta wakawa wanaita Terasit nao ni ya ndoo.Hii Cornimix naweza paka kwa ndani pia ama inapendeza kwa nje tu, nimeona nyumba nyingi kwa sasa wanapaka sana hiyo kitu kukwepa gharama za rangi?
Na huwa zinadumu ama ni promo ya kuuza rangi tu boss
Kwa hiyo unataka kusema kuwa, ili kuweka hii material, lazima nyuma nichapie, ni skim kisha ndo nipake hii!?? Au nichapie, nipake hizi material zako,ni skim then nipake rangi!??Ndg hii ya kwangu ina rangi moja tu, ukishapaka unapaka rangi juu unayotaka, na kusudi la material hii si kukwepa skimming..la..hasha, bali kukwepa adha ya rangi kubanduka na kushambuliwa na unyevunyevu yaani fungus, lakinipi kuepuka gharama za kupaka jengo lako kila wakati.
Namaanisha ukisha piga Plaster, unapaka hiyo Rough Plaster kisha rangi unayotaka.Kwa hiyo unataka kusema kuwa, ili kuweka hii material, lazima nyuma nichapie, ni skim kisha ndo nipake hii!?? Au nichapie, nipake hizi material zako,ni skim then nipake rangi!??
Una rangi gani!?