Kutana na fundi rangi, kuna mengi ya kujifunza

Hivi hizi rangi siku hizi wanapiga Kwenye ripu bila hata skimming inakuwaje?

Swali la pili, Jengo la ofisi ni rangi gani nzuri nje ya Jengo linakusudiwa kutumika kama ofisi?
 
Nami ninaendelea kujifunza kwenu wataalamu wa jukwaa hili.
 
Hivi hizi rangi siku hizi wanapiga Kwenye ripu bila hata skimming inakuwaje ?

Swali la pili,Jengo la ofisi ni rangi gani nzuri nje ya Jengo linakusudiwa kutumika kama ofisi?
Ndg hapa naomba kuweka wazi watu waelewe.

1. Rangi tunazopiga bila kufanya skimming ni imara kwani hazipakwi kwa Roller bali zinapakwa na vifaa maalumu japo uweli nikwamba ni aghali ukilinganisha na rangi za kawaida, kwani unaweza kupaka rangi juu baada ya miaka kuanzia 5 kwenda juu tofauti na hizi za maji ambazo kila mwaka unatamani kupaka rangi.

2. Kuna rangi maalum kwa ajiri ya makazi na rangi maalumu kwa ajiri biashara. Mfano rangi kali ni kwa ajari ya maofisi kama vile blue, njano,nyekundu, kijani na nyeusi, jinsi zinavyo tamkika unaona kabisa huwezi kuzipaka kwenye jengo isipokuwa kama ni ofisi au kibiashara.
 
Hapa utaona nimejaribu kuweka mwonekano wa majina ya rangi za kawaida na pengine hakuna unayoweza kuona inafaa kwakweka kwenye jengo lako.
 
Kazi nzuri sana..

Ila sasa tutajuaje kama ndiyo mkono wako for real? Maana siku hizi watu wanadownload mapicha mtandaoni tuu kisha wanajibrandisha[emoji4]
Ndg kama ambavyo nimesema mimi ni mtoto wa JF kwenye jukwaa la matangazo madogomadogo najulikana kama fundi rangi. Kazi zote ninazo zituma hapa zina historia, pia waweza kunitembelea site nakujionea, na sina utamaduni wa kutuma Kazi za mafundi wenzangu.
 
Ndg zangu nawaomba radhi mnisamehe kwani leo kutwa nilitingwa na majukumu ndiyo natulia sasa.

0766111212 utanipata kwa no hii.
 
Lakini pia ndg zangu mwnzenu ni fundi na majasiliamali nina nilipata Neema ya kumiliki kampuni inaitwa Mimina Company Limited ambayo pia inamiliki kiwanda cha kuzalisha rough plaster ambayo napaka kwenye majengo unayoyaoona hapo juu.
 
Kuna ukweli na wivu.
Unajua kuna mafundi wengine ili wapate wateja wanajitangaza wanaweza kupaka rangi kisasa ila sio kweli.
Ni uongoo ukija mpa kazi unaweza faint na kasha haribu kazi.
Sasa hujui ukweli ni upi.

Ila kuna mafundi wengi humu mwingine akaona akupondee usiharibu biashara yake humu so nimemaliza
 
Hizi nyumba za kifahari langi yoyote utakayopaka inapendeza tu
 
Hizi nyumba za kifahari langi yoyote utakayopaka inapendeza tu
Ukweli ndg zangu unaposikia mtu anasema rangi imependeza maana yake ni mpangilio wa rangi. Huwezi kupaka rangi nyeusi jengo lote watu wakasema nyumba imependeza. Mpangilio wa rangi unamata mno hata kama jengo ni dogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…