Ndg hapa naomba kuweka wazi watu waelewe.
1. Rangi tunazopiga bila kufanya skimming ni imara kwani hazipakwi kwa Roller bali zinapakwa na vifaa maalumu japo uweli nikwamba ni aghali ukilinganisha na rangi za kawaida, kwani unaweza kupaka rangi juu baada ya miaka kuanzia 5 kwenda juu tofauti na hizi za maji ambazo kila mwaka unatamani kupaka rangi.
2. Kuna rangi maalum kwa ajiri ya makazi na rangi maalumu kwa ajiri biashara. Mfano rangi kali ni kwa ajari ya maofisi kama vile blue, njano,nyekundu, kijani na nyeusi, jinsi zinavyo tamkika unaona kabisa huwezi kuzipaka kwenye jengo isipokuwa kama ni ofisi au kibiashara.
View attachment 2325727View attachment 2325728View attachment 2325729View attachment 2325731