Kutana na Joseverest na Khantwe! Waulize chochote kuhusu penzi lao lilichipukia hivi karibuni

Kutana na Joseverest na Khantwe! Waulize chochote kuhusu penzi lao lilichipukia hivi karibuni

Kwa nguvu moja napinga mahusiano haya batili maana mwisho Wa Siku comred jose atakuwa betrayed
Kila mtu anajua Khantwe ni kigodoro cha mkuu daby
Labda kama amewapa baraka zake
Mbona Khantwe alisema yupo single mkuu?

Tena akasema yupo tayari kuwa hata mke wa nne wa Joseverest
 
Naam!

Ni rasmi kabisa kuwa, Joseverest na Khantwe wapo ktk penzi moto moto hapa jamvini.

Couple hii ni changa kabisa iliyochipukia hivi karibuni ktk uzi huu Kama hawa wangetengeneza couple hapa JF, zingenoga sana.

Waulize chochote hapa kuhusu penzi lao hili changa,, matarajio,, mipango yao ktk penzi lao hapa jamvini.

6355e7bcbc82d5828e4a19f6d0d6d14a.jpg


6e7077ee44889390e8471c36b137cf7e.jpg
Tom na jerry
 
Back
Top Bottom