Kutana na Joseverest na Khantwe! Waulize chochote kuhusu penzi lao lilichipukia hivi karibuni

Mi Bado Natanga Tanga Tuuuuuu
Mkuu we inabidi ukamtafutie kwa kule jukwaa la wakubwa...maana kule ndo himaya yako ilipo! nazani jukwaa lile utampata concord mwenzako.

Halafu siku hizi naona kasi ya kutupia vyombo jukwaa letu lile imepungua kwa kasi sana mkuu...kunani?
 
Huwa Nachungulia Chungulia Kias Chake
 
Back
Top Bottom