Kutana na Joseverest na Khantwe! Waulize chochote kuhusu penzi lao lilichipukia hivi karibuni

Kutana na Joseverest na Khantwe! Waulize chochote kuhusu penzi lao lilichipukia hivi karibuni

Jamaa hawa penzi lao ni la mkono wa mungu maana limeanza ki mwendo kasi sana swali kwao je wameshakulana au khatwe amebaki na ule msimamo wake wa until marry me ndyo avue chupi?
Unauliza shuka kwa mmasai?
 
Kwa nguvu moja napinga mahusiano haya batili maana mwisho Wa Siku comred jose atakuwa betrayed
Kila mtu anajua Khantwe ni kigodoro cha mkuu daby
Labda kama amewapa baraka zake
Acha uchonganishi
 
Back
Top Bottom