Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
- Thread starter
-
- #21
Wale wamekulana kwani?Kama bold na nifah mkuu
Hujui?Wale wamekulana kwani?
Mbona Khantwe alisema yupo single mkuu?Kwa nguvu moja napinga mahusiano haya batili maana mwisho Wa Siku comred jose atakuwa betrayed
Kila mtu anajua Khantwe ni kigodoro cha mkuu daby
Labda kama amewapa baraka zake
Sikuwa nafahamu mkuuHujui?
Tena sio daby tu kuna msele anaitwa kaboom naye anafaidi hapo vitamu vya khantweMbona Khantwe alisema yupo single mkuu?
Tena akasema yupo tayari kuwa hata mke wa nne wa Joseverest
Jose ni mura?Joseverest ukimya wako muraa unaashiria umekubali matokeo haya.
Mbona sura hiyo ya mtoto haifanani na sura ya akina muraaaaaaaa
Wewe pia najua utakua umeosha rungu kwa KhantweTena sio daby tu kuna msele anaitwa kaboom naye anafaidi hapo vitamu vya khantwe
Wewe wasemaWewe pia najua utakua umeosha rungu kwa Khantwe
Wa mikoani au wa Dar?Mimi mwanamume aisee
Hahaha. Hukumkomalia angeelewaKumbe hunter Joseverest ulifanya kweli.
Daah nami ningekomaa kumbe Sky Eclat ningemikili zigo maana uzi huo huo mtu kafanya kweli.
Uzi ule nimeanzisha mm hakuna mkono wa JoseverestJosee mpeleke uyo mtoto ngarenaro ila isije ikawa kuna mkono wako kuanzishwa kwa ule uzi..
Tom na jerryNaam!
Ni rasmi kabisa kuwa, Joseverest na Khantwe wapo ktk penzi moto moto hapa jamvini.
Couple hii ni changa kabisa iliyochipukia hivi karibuni ktk uzi huu Kama hawa wangetengeneza couple hapa JF, zingenoga sana.
Waulize chochote hapa kuhusu penzi lao hili changa,, matarajio,, mipango yao ktk penzi lao hapa jamvini.