Unauliza shuka kwa mmasai?Jamaa hawa penzi lao ni la mkono wa mungu maana limeanza ki mwendo kasi sana swali kwao je wameshakulana au khatwe amebaki na ule msimamo wake wa until marry me ndyo avue chupi?
Mkuu punguza ukali wa maneno hata kama ya ukweliKwa niaba yangu mimi mwenyewe ninawapongeza kwa hatua yao nzuri ya kuanzisha mausiano ya kimapenzi yenye lengo la kufanya ngono.
Ina nini?Dah iyo avatar ya jose inanidisturb kinoma aiseeee[emoji24][emoji24][emoji24]
Asante mkuuNinawapongeza sana....
Ninawaombea kheri......
Asante...hiyo Id yako tuKila la kheri kwao
Acha uchonganishiKwa nguvu moja napinga mahusiano haya batili maana mwisho Wa Siku comred jose atakuwa betrayed
Kila mtu anajua Khantwe ni kigodoro cha mkuu daby
Labda kama amewapa baraka zake
Umbea hauna poshoTena sio daby tu kuna msele anaitwa kaboom naye anafaidi hapo vitamu vya khantwe
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Hongera Joseverest kwa kuopoa mdada mzuri wa kikorea Khantwe
KhaaaTom na jerry
Maana yake ni fictionKhaaa
Duh [emoji50] !Joseverest umeshato.m.ber au bado?
Mkuu nakupendeni sana, na ninapendezwa na vile mlivyo jikubali.Asante mkuu
Umeandika kwa hisia mkuu [emoji1]Mkuu nakupendeni sana, na ninapendezwa na vile mlivyo jikubali.
Nawaombea kheri na fanaka kwa mapendo ya yenu.
Mkuu...Umeandika kwa hisia mkuu [emoji1]
Wewe wasemaMaana yake ni fiction
Haya nichum nilaleWewe wasema
Kipenzi upo? Nam miss sanaa. Hivi yupo salama kweli. Hadi naogopaKhantwe dada eti kweli??