mjunirojasi
Senior Member
- Sep 3, 2017
- 108
- 54
Mkuu we inabidi ukamtafutie kwa kule jukwaa la wakubwa...maana kule ndo himaya yako ilipo! nazani jukwaa lile utampata concord mwenzako.Mi Bado Natanga Tanga Tuuuuuu
Huwa Nachungulia Chungulia Kias ChakeMkuu we inabidi ukamtafutie kwa kule jukwaa la wakubwa...maana kule ndo himaya yako ilipo! nazani jukwaa lile utampata concord mwenzako.
Halafu siku hizi naona kasi ya kutupia vyombo jukwaa letu lile imepungua kwa kasi sana mkuu...kunani?
Nyokooo[emoji41] [emoji41] [emoji41]
[emoji7] [emoji7]
My swit potato
Yes my sweet hipoppo
Wanifanya nitabasamu kila wakati
Ndilo jukumu langu mama....
Asante mkuuHongera kwao
Pabaya wapi?Mautani yenu lazima yanaishiaga pabaya,,,
Kufanya matusiPabaya wapi?
Hapo ndio pabaya? Mbona hata wewe ni matokeo ya matusi?Kufanya matusi
Mi nimeshushwa🙂🙂Hapo ndio pabaya? Mbona hata wewe ni matokeo ya matusi?
HongeraaMi nimeshushwa🙂🙂
Ikoje mkuu[emoji6]Asante...hiyo Id yako tu
Endelea kufanya maombi tu mkuu...JF bhana raha sana hata mie sina aliye nizimikia
Sasa bebi mbona unafukua makaburiEndelea kufanya maombi tu mkuu...
Hapa nimeamka nikajikuta nafanya sala ya kudumisha mapendo yetu haki...[emoji39] [emoji39]Sasa bebi mbona unafukua makaburi
Ndio maana nakupendaga. Unapenda maombiHapa nimeamka nikajikuta nafanya sala ya kudumisha mapendo yetu haki...[emoji39] [emoji39]
Amen.....[emoji120]Ndio maana nakupendaga. Unapenda maombi