ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Ni dume na mate wake anaitwa federik huyu mate wake sio mkubwa sana kwani kazaliwa 1991..Jonathan anaishi huko saint Helena kisiwani ana kilogram 150..alitotolewa kwenye visiwa vya shelisheli Bahari ya hindi.. Walitotolewa yeye na wenzake watatu yeye akahamishiwa huku saint Helena kwenye shamba na anaangaliwa na kutunzwa na serikali ya kisiwani hapo. Umri wake umekadiriwa hivyo kwa sababu alipo kuwa akiletwa mwaka helena mwaka 1886 tayari inaonekana alishakuwa mature.. Yuko kobe mwingine huko India ilisemekana yeye alifanikiwa kuishi miaka 255 ingawa haikuwahi kuthibitishwa..
Kwa sasa Jonathan amekuwa kipofu pia kapoteza sense ya harufu ila anasikia vizuri na anatumia muda mwingi kuwa na mate wake pembeni huyu Jonathan katembelewa na prince wa uingireza pamoja na mama wa queen Elizabeth.