Kutana na kobe Jonathan mnyama mwenye umri mkubwa kuliko wote duniani alitotolewa mwaka 1832

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Ni dume na mate wake anaitwa federik huyu mate wake sio mkubwa sana kwani kazaliwa 1991..Jonathan anaishi huko saint Helena kisiwani ana kilogram 150..alitotolewa kwenye visiwa vya shelisheli Bahari ya hindi.. Walitotolewa yeye na wenzake watatu yeye akahamishiwa huku saint Helena kwenye shamba na anaangaliwa na kutunzwa na serikali ya kisiwani hapo. Umri wake umekadiriwa hivyo kwa sababu alipo kuwa akiletwa mwaka helena mwaka 1886 tayari inaonekana alishakuwa mature.. Yuko kobe mwingine huko India ilisemekana yeye alifanikiwa kuishi miaka 255 ingawa haikuwahi kuthibitishwa..

Kwa sasa Jonathan amekuwa kipofu pia kapoteza sense ya harufu ila anasikia vizuri na anatumia muda mwingi kuwa na mate wake pembeni huyu Jonathan katembelewa na prince wa uingireza pamoja na mama wa queen Elizabeth.
Jonathan-plantation-house.jpg
Saint-Helena-Plantation-House-Jonathan-the-Tortoise-by-kevin-gepford.jpg
Jonathan_and_another_tortoise,_St_Helena.png
 
Kobe wanaweza kuishi miaka mingi kutokana na sababu kadhaa zinazohusiana na fiziolojia yao, mazingira, na mwenendo wao wa maisha.
Kobe wengi hula chakula cha mimea (herbivores) ambacho ni pamoja na majani, matunda, na mboga. Lishe hii yenye virutubisho inaweza kusaidia katika kudumisha afya nzuri kwa muda mrefu.
 
Hawapati maradhi sana
 
Kwa hiyo kobe ni maras?
 
Ni dume na mate wake anaitwa federik huyu mate wake sio mkubwa sana kwani kazaliwa 1991..Jonathan anaishi huko saint Helena kisiwani ana kilogram 150..alitotolewa kwenye visiwa vya shelisheli Bahari ya hindi.. Walitotolewa yeye na wenzake watatu yeye akahamishiwa huku saint Helena kwenye shamba na anaangaliwa na kutunzwa na serikali ya kisiwani hapo. Umri wake umekadiriwa hivyo kwa sababu alipo kuwa akiletwa mwaka helena mwaka 1886 tayari inaonekana alishakuwa mature.. Yuko kobe mwingine huko India ilisemekana yeye alifanikiwa kuishi miaka 255 ingawa haikuwahi kuthibitishwa..

Kwa sasa Jonathan amekuwa kipofu pia kapoteza sense ya harufu ila anasikia vizuri na anatumia muda mwingi kuwa na mate wake pembeni huyu Jonathan katembelewa na prince wa uingireza pamoja na mama wa queen Elizabeth.
View attachment 2998773View attachment 2998774View attachment 2998775
Huku kwetu tuna wakimbia kama ukoma afu wanapotelea misituni huko nadhani nao wana rekodi zao huko misituni kuzidi hata hao
 
Back
Top Bottom