Kutana na kocha anayefundisha timu nne kwa wakati mmoja

Kutana na kocha anayefundisha timu nne kwa wakati mmoja

Huyu si mwingine ni mchawi mweusi Bakari shime ambaye anafundisha timu za mpira za
Timu ya wanawake Tanzania
Timu ya Under 21 wanawake Tazania
Timu ya under 17 wanawake Tanzania
Timu ya wanawake Tanzania bara
Anafaidi.
 
Kama akiwa Mbunye Boy dada zetu watakua wako hatarini sana
Hatoi hapangwi
Ipo shida yaani mawazo ya mtu mmoja ndio yatutoe tulipo kama taifa na tutagemee maajabu he is human being not robot kwenye concentration ndio tatizo.
Akiamua kufanya hujuma inakuwa na nguvu
 
Huyu si mwingine ni mchawi mweusi Bakari shime ambaye anafundisha timu za mpira za
Timu ya wanawake Tanzania
Timu ya Under 21 wanawake Tazania
Timu ya under 17 wanawake Tanzania
Timu ya wanawake Tanzania bara
[emoji1787]
 
Back
Top Bottom