Kutana na Luludiva; superstar anayeishi nyumba ya tope

Kutana na Luludiva; superstar anayeishi nyumba ya tope

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Nasema nyumba ya tope kwa sababu Dar hajajenga anaongoza kwa kupanga mitaani huko hivo basi kwa kuwa yeye ni mtoto pekee wa mama na mama alikuwa na nyumba ya tope basi Luludiva ndio anaweka record ya kurithi na kuishi nyumba ya tope

BFB9FE2A-3E07-4538-AB1C-FF7F266BC140.jpeg

9288BA33-0905-4BFE-B13F-8768166108E8.jpeg
 
Nasema nyumba ya tope kwa sababu dar hajajenga anaongoza kwa kupanga mitaani huko hivo basi kwa kuwa yeye ni mtoto pekee wa mama na mama alikuwa na nyumba ya tope basi luludiva ndio anaweka record ya kurithi na kuishi nyumba ya tope

View attachment 2052860

View attachment 2052861
Mwache kwanza dada wa watu atulie, kupoteza mzazi sio masihara mkuu.
 
Mimi sioni cha ajabu hapo. Lulu Diva ni mpambanaji tu kama walivyo watu wengi nchi hii.

Alianza kuigiza, mambo yakagoma, akawa video vixen na sasa hivi anakomaa na kuimba.

Sasa sioni popote kama kuna sababu ya kushangaa.
 
sis watanzania tunaakil ndogo sana kwaio unahis waltoka kijijin na kuja kupanga mjin? kama taratbu za kwao n kuzka maeneo ya nyumban kwao ndio wajengee ukoo mzma nenda uchagan uone wachaga wananyumba za kawaida lakn uko mjin wana ma hekalu
 
Nasema nyumba ya tope kwa sababu dar hajajenga anaongoza kwa kupanga mitaani huko hivo basi kwa kuwa yeye ni mtoto pekee wa mama na mama alikuwa na nyumba ya tope basi luludiva ndio anaweka record ya kurithi na kuishi nyumba ya tope

View attachment 2052860

View attachment 2052861
Ila na wewe mleta uzi kwanini unafuatilia maisha yasiyokuwa yako? Wazungu hawajengi nyumba wengi wao wanaishi kwenye nyumba za mbao na wamepangishwa napenda maisha halisi ya kijijini
 
Back
Top Bottom