Kutana na Luludiva; superstar anayeishi nyumba ya tope

Kutana na Luludiva; superstar anayeishi nyumba ya tope

Mimi sioni cha ajabu hapo. Lulu Diva ni mpambanaji tu kama walivyo watu wengi nchi hii.

Alianza kuigiza, mambo yakagoma, akawa video vixen na sasa hivi anakomaa na kuimba.

Sasa sioni popote kama kuna sababu ya kushangaa.
Hivi sasa anaigiza mkuu..
Tena in muigizaji mzuri anajitahidi
Ukitaka kumuona angalia tamthilia inaitwa jua Kali..anaigiza sambamba na Gara B
 
Mastaa wetu sijui wanakwama wapi mjini fujo kibao halafu home miyeyusho
Kupitia kanumba
Agnes masogange
Albert mangwea.

Inaonyesha jinsi gani wasanii wetu wanavyotudanga kwenye mitandao ya ukiwakumbusha unaambulia matusi,

Kuna lile uwoya ndo halijielewi kabisa kila siku lipo hotelini.
 
sis watanzania tunaakil mdogo sana waio unahis waltoka kijijin na kuja kupanga mjin? kama taratbu za kwao n kuzka maeneo ya nyumban kwao ndio wajengee ukoo mzma nenda uchagan uone wachaga wananyumba za kawaida lakn uko mjin wana ma hekalu

Sio kweli ,wachaga nyumbani kwao migombani kuna MANSIONS ambazo wanazitumia wakati wa Xmas wakiwa mapumzikoni lakini muda mwingine wote zinakuwa nyumba za panya!!!
 
Back
Top Bottom