Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh NHIF ya wp mtu mzima analipa 50400 nadhan hii ni kwa mtotoSio yeye tuu waaulize na wasanii wengine. Wasanii wengi bongo wanaishi majumba ya kifahari ya kupanga kingali hata bima ya afya ya NHIF ya 50400/= hawana.
Kuwa na mchepuko mwenye mawazo kama yako ni kujiingiza katika mdomo wa mamba! Heri uchepuke la lulu diva maana k ni k tuWengine wamemtete wakisema eti hapa duniani tunapita hakuna haja ya kujenga
Wengine wakasema amjengee nani wakati alikuwa na mama yake tu?
Kwetu tunasema ujenge nyumba ya kulinda makaburi.
Wengine wakamtete eti yeye akifa atazikwa kwa mme wake,je kama hotooelewa? Au akifa kabla ya hiyo ndoa? Ya mungu mengi simsemi vibaya.
Hatumsemi vibaya ila msanii anaeweza vimba mjini na gari kali atawezaje shindwa hata mili 10 tu ajenge nyumba ya kawaida?
Kama angekuwa sisi watu wa kawaida tusokuwa na mishahara sawa hakuna shida.
Wasanii wanamiliki simu za mil 3 anapanga nyumba ya laki 5 kwa mwezi iweje usahau kuna maisha ya baadae?
Mimi uwa mawachekesha watu ofisini.nawambia mimi kama akitokea mzamini akanininulia macho matatu naiuza nanunua sumsung ya laki 4 wanacheka.
Ni kwakuwa sina hela labda ndo maana nina uchungu na hela.
Kwakweli katia aibu. Na mimi nikifa leo mkaenda nizika home mtacheka kidogo sana kuwa nyumba yetu imepitwa na wakati ila sio tope .na pale nyumbani pembeni msingi nilouweka pale mwezi ulotipa sio wa kitoto mtajua ninakoelekea.
Mi siwezi chezea pesa, hata ikitokea fala moja akanihonga hata laki siku zote elfu 50000 lazima niitume nyumbani, cement kwetu ni 26000, nondo 27000 trip ya mawe 70000, mchanga 60000,boma linataka tofali 20000, nataka msauzi bati 70 leo nianze kutumia macho matatu? Ni upuuzi.
Ningekuwa na nafasi ya kama hawa wasanii ningefanya vitu vya maana sana
Wasanii ni watu wa ovyo kabisa.
Hiyo bima ya wanafunzi mzee. Ebu maliza chuo kwanza.Sio yeye tuu waaulize na wasanii wengine. Wasanii wengi bongo wanaishi majumba ya kifahari ya kupanga kingali hata bima ya afya ya NHIF ya 50400/= hawana.
Hiyo ya wanafunzi wa Chuo. Hahaa. Anadhani life jepesi hivo.Mmmh NHIF ya wp mtu mzima analipa 50400 nadhan hii ni kwa mtoto
Hapo unakuwa na familia nne zinakutegemea mwanaume! Hatari na nusuDemu wako akikuomba laki mpe wengine 50000 tunatumaga home😂
Chuo nimemaliza kitambo sana budaaaHiyo bima ya wanafunzi mzee. Ebu maliza chuo kwanza.
Umeongea fact sana mkuuSa afadhali hata yeye ana kwao, tena na Nyumba ya Tope ipo.. kuna wengine Tunamponda huku tumezaliwa kwenye Nyumba za Upangaji na mpaka leo tuko Kwenye Nyumba za Upangaji.. infact hatuna kwetu!!
Nachukia sana misiba kwa hiliUkiwa mfiwa unakua na maumivu mawili ......either ya kutiwa ......na wale wanaokuja kukuchunguza
Mimi nina Anko wangu mmoja alikuwa na cheo kikubwa tu cha polisi, ingawa ni kweli alikuwa ni mpenda bata lakini yeye alizaliwa Dar na mpaka amekuwa na kuwa mkubwa akijua kwao ni Dar na ndiko baba yake alijenga.Nachukia sana misiba kwa hili
hata mimi sijui kwakweliHivi huyu Lulu Diva ni superstar wa kitu gani?
Actress, musician au ni mchekeshaji?
Kwa hakika sijui mnijuze
na hii inawatesa sanaShida hawa wanaojifanya ni maalufu hapa mjini wanaishi maisha ambayo mda mwingine ni mateso kwao mtu anahitaji kuishi KWA ghalama kubwa Ili aonekane ni matawi ya juu kumbe ni choka mbaya tu
Kwanza ungetueleza utajiri wakeNasema nyumba ya tope kwa sababu dar hajajenga anaongoza kwa kupanga mitaani huko hivo basi kwa kuwa yeye ni mtoto pekee wa mama na mama alikuwa na nyumba ya tope basi luludiva ndio anaweka record ya kurithi na kuishi nyumba ya tope
View attachment 2052860
View attachment 2052861
Anamiliki gari ya aina gani?Kushangaa ni kuishi nyumba ya tope huku mjini akivimba na gari ya milion 30
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umepata pa kumkomesha..Luludiva bhana anavyoringa kumamae
Hapo luludiva alikuwa analia mengi sanaNasema nyumba ya tope kwa sababu dar hajajenga anaongoza kwa kupanga mitaani huko hivo basi kwa kuwa yeye ni mtoto pekee wa mama na mama alikuwa na nyumba ya tope basi luludiva ndio anaweka record ya kurithi na kuishi nyumba ya tope
View attachment 2052860
View attachment 2052861
Wachagga hawana nyumba za tope acha kudaganya kule nyumba nyingi ni nzuri kuliko hata za huku Dar kwenye msongamamo na uchafusis watanzania tunaakil ndogo sana kwaio unahis waltoka kijijin na kuja kupanga mjin? kama taratbu za kwao n kuzka maeneo ya nyumban kwao ndio wajengee ukoo mzma nenda uchagan uone wachaga wananyumba za kawaida lakn uko mjin wana ma hekalu