Kutana na Luludiva; superstar anayeishi nyumba ya tope

Kutana na Luludiva; superstar anayeishi nyumba ya tope

Mimi sioni cha ajabu hapo. Lulu Diva ni mpambanaji tu kama walivyo watu wengi nchi hii.

Alianza kuigiza, mambo yakagoma, akawa video vixen na sasa hivi anakomaa na kuimba.

Sasa sioni popote kama kuna sababu ya kushangaa.
Mkuu wabongo wengi huwa ni wataalamu katika kukosoa maisha ya wengine, binafsi nilikuwa hata simjui huyo dada ila kuna kipindi mwaka jana niliwahi kuona video inazunguka mtandaoni akiongelea anavyompenda mama yake na changamoto za kumuuguza na niliona ni kitu cha heshima sana. Kuuguza mzazi si jambo dogo, wapo watoto wengi tu waliotupa wazazi wao na kuendelea na mishe zao tu mjini, na hapo ukumbuke kwa mpambanaji kama yeye ambaye hana ajira ya kudumu ana uwezekano mkubwa hana hata bima ya afya ya kueleweka inayomlinda mzazi wake. Saa nyingine tunapenda kuhukumu kwa kejeli bila kujua nyuma ya pazia mtu anapitia jambo gani.
 
Mastaa wetu sijui wanakwama wapi mjini fujo kibao halafu home miyeyusho
Kupitia kanumba
Agnes masogange
Albert mangwea.

Inaonyesha jinsi gani wasanii wetu wanavyotudanga kwenye mitandao ya ukiwakumbusha unaambulia matusi,

Kuna lile uwoya ndo halijielewi kabisa kila siku lipo hotelini.

Masogange alimjengea baba ake huna kumbukumbu yule alimjengea mzee wake nyumba kubwa tu
 
Luludiva ameuguza kwa miaka sita atapata wap hela za kujenga na kuuguza,kwa ambae hajawah kuuguza huo ugonjwa ataongea ila huo ugonjwa unakula hela sana clinic za kufikia dawa nazo ni kununua kila siku kwangu mimi lulu ni shujaa kuuguza ni kaz sana
 
Wengine wamemtete wakisema eti hapa duniani tunapita hakuna haja ya kujenga

Wengine wakasema amjengee nani wakati alikuwa na mama yake tu?

Kwetu tunasema ujenge nyumba ya kulinda makaburi.

Wengine wakamtete eti yeye akifa atazikwa kwa mme wake,je kama hotooelewa? Au akifa kabla ya hiyo ndoa? Ya mungu mengi simsemi vibaya.

Hatumsemi vibaya ila msanii anaeweza vimba mjini na gari kali atawezaje shindwa hata mili 10 tu ajenge nyumba ya kawaida?

Kama angekuwa sisi watu wa kawaida tusokuwa na mishahara sawa hakuna shida.

Wasanii wanamiliki simu za mil 3 anapanga nyumba ya laki 5 kwa mwezi iweje usahau kuna maisha ya baadae?
Mimi uwa mawachekesha watu ofisini.nawambia mimi kama akitokea mzamini akanininulia macho matatu naiuza nanunua sumsung ya laki 4 wanacheka.

Ni kwakuwa sina hela labda ndo maana nina uchungu na hela.

Kwakweli katia aibu. Na mimi nikifa leo mkaenda nizika home mtacheka kidogo sana kuwa nyumba yetu imepitwa na wakati ila sio tope .na pale nyumbani pembeni msingi nilouweka pale mwezi ulotipa sio wa kitoto mtajua ninakoelekea.

Mi siwezi chezea pesa, hata ikitokea fala moja akanihonga hata laki siku zote elfu 50000 lazima niitume nyumbani, cement kwetu ni 26000, nondo 27000 trip ya mawe 70000, mchanga 60000,boma linataka tofali 20000, nataka msauzi bati 70 leo nianze kutumia macho matatu? Ni upuuzi.
Ningekuwa na nafasi ya kama hawa wasanii ningefanya vitu vya maana sana

Wasanii ni watu wa ovyo kabisa.
 
Wengine wamemtete wakisemaceti hapa duniani tunapita hakuna haja ya kujenga

Wengine wakasema amjengee nani wakati alikuwa na mama yake tu?

Kwetu tunasema ujenge nyumba ya kulinda makaburi.

Hatumsemi vibaya ila msanii anaeweza vimba mjini na gari kali atawezaje shindwa hata mili 10 tu ajenge nyumba ya kawaida?

Kama angekuwa sisi watu wa kawaida tusokuwa na mishahara sawa hakuna shida.

Wasanii wanamiliki simu za mil 3 anapanga nyumba ya laki 5 kwa mwezi iweje usahau kuna maisha ya baadae?
Mimi uwa mawachekesha watu ofisini.nawambia mimi kama akitokea mzamini akanininulia macho matatu naiuza nanunua sumsung ya laki 4 wanacheka.

Ni kwakuwa sina hela labda ndo maana nina uchungu na hela.

Kwakweli katia aibu. Na mimi nikifa leo mkaenda nizika home mtacheka kidogo sana kuwa nyumba yetu imepitwa na wakati ila sio tope .na pale pembeni msingi nilouweka pale mwezi ulotipa mtajua ninakoelekea.

Akitokea fala moja akanihonga hata laki kuanzi sasa elfu 50000 lazima niitume nyumbani, cement kwetu ni 26000, nondo 27000 trip ya mawe 70000, mchanga 60000,boma linataka tofali 20000, nataka msauzi bati 70 leo nianze kutumia macho matatu? Ni upuuzi.

Wasanii ni watu wa ovyo kabisa.
Huo mguu wako

Ova
 
Nasema nyumba ya tope kwa sababu dar hajajenga anaongoza kwa kupanga mitaani huko hivo basi kwa kuwa yeye ni mtoto pekee wa mama na mama alikuwa na nyumba ya tope basi luludiva ndio anaweka record ya kurithi na kuishi nyumba ya tope

View attachment 2052860

View attachment 2052861
Mleta mada nisaidie kitu kimoja, hapo ni Kwa Lulu Diva au Kwa Wazazi wake?
 
Nasema nyumba ya tope kwa sababu dar hajajenga anaongoza kwa kupanga mitaani huko hivo basi kwa kuwa yeye ni mtoto pekee wa mama na mama alikuwa na nyumba ya tope basi luludiva ndio anaweka record ya kurithi na kuishi nyumba ya tope

View attachment 2052860

View attachment 2052861
Pamoja na kwamba mimi simfaham huyo dada wala sijawahi kumfuatitilia ila naamini kuwa, hakuna mtu anayependa kuishi maisha duni hivyo atakuwa hajapata uwezo wa kujenga. Naona wewe umekuja hapa kumvua nguo (kumuabisha) kitu ambacho sio sawa kwani bado yeye ni underground/hajapata uwezo! Hawa dada zetu wasio na kazi rasmi wanapitia kipindi kigumu sana, ni wakuonea huruma!
ILA ikikupendeza ungefuta huu uzi wako!
 
Hizi akili za tope hizi kama za mleta thread hazina tofauti na uchawi... Lulu Diva bado anajimake. Ndio kwanza anaanza Maisha ya usupastaa mnaanza kumpa standard za kujifanya mnajua sana background yake.
 
Back
Top Bottom