InvisibleTarget
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 1,138
- 2,176
nyumba kwa hawa superstars sio kisogo kuwa lazima kila suerstar awe nayo...usupastaa na uwezo wa kujenga nyumba ni vitu havifanani sababu sio kila maarufu ana ela ya kumuwezesha kufanya hivyo...maisha ni kuchagua na yeye pia kuna vitu anavyo na wengine hawana...mfano yeye ni maarufu(kuna wengi wana nyumba lakini sio maarufu) kwa hiyo sio lazima sana kwa mtu hata kama ni superstar kuwa na kila kitu...haya ni maisha tu.!Nasema nyumba ya tope kwa sababu Dar hajajenga anaongoza kwa kupanga mitaani huko hivo basi kwa kuwa yeye ni mtoto pekee wa mama na mama alikuwa na nyumba ya tope basi Luludiva ndio anaweka record ya kurithi na kuishi nyumba ya tope
View attachment 2052860
View attachment 2052861