Lulu diva unajua alivyohangaika na mama yake,? Unajua kuwa alikua anaishi nae kwake bila msaada wa mtu? Hakumuacha kijijini kama wengi wanavyofanya. Before we judge tujitathmini na sisi weyewe.
Toka ameanza muziki na kuingiza pesa alikua anauguza? Jibu ni hapana kwenye issue ya kujenga kwenu hii hua haina mjadala kabisa ndio maana jamii nyingine anaanza kujenga kijijini baadae anakuja kujenga mjini tunapokumbushana kujenga kijijini sio kwa ubaya hata akijenga ni manufaa ya kwake na ndugu zake.akiamua kutokujenga pia basi ni yeye