jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 9,604
- 8,812
Ila tuseme tu ukweli. Kujenga nyumba siyo rahisi kama tunavyofikiria. Hasa kwa mtoto wa kike. Ni rahisi vijana wa kike kuwa na ndinga, kupanga hata apartments masaki, kuvaa wigi la 10m/-, gauni la laki tano, pochi, dhahabu, hereni, kula bata kila siku na kutamba anazo pesa kuliko kujenga, iwe mjini au kijijini. Tunao madada tumeshuhudia. Ukiniuliza kwanini sina jibu. Labda watueleze wao wenyewe!