Kutana na Luludiva; superstar anayeishi nyumba ya tope

Kutana na Luludiva; superstar anayeishi nyumba ya tope

Wanagawiana tu usiper star. Mfano demu akigongwa na Diamond akaja kugongwa na T.I.D. akapitiwa na kiba. Halafu akaja kumalizia wengine wengine,huyo tayari wanampandisha cheo cha usuper star. Halafu super star huku hana hela.
Kumbe,
Kagongwa
 
Hiyohiyo fanya repair itakaa vizuri sio lazima ujenge mpya...wengi siku hizi wanazibadili
Design ya zamani vyoo na bafu viko njee afu hakuna dining ni sebule tu na vyumba. Kama nitakuwa hai lazima niweke kitu cha tofauti. Ramqni nilitoa mtandaoni kila mtu anaiuliza , fundi nilimtoa mjini nikaenda nae kijiji, ramani kali ile ningekuwa na mipesa ingekuwa ya tofauti.
 
Vipi na wewe hujajenga kwenu? [emoji13][emoji13]... Nadhani hapa mnatakiwa mjifunze kwamba Mola akiwapa kidogo kwenye maisha punguzeni majigambo, kujionesha kuwa mna mapesa na maisha ya juu. Sote kama binadamu kwa nyakati tofauti huwa tunapitia hizi changamoto za kuuguza wapendwa wetu, tena kwa muda mrefu, yote ni mipango ya Mungu. Lakini ukiwa kila dakika ni kuwaonyesha walimwengu kwamba wewe ni milionea na maisha umeyapatia basi jiandae kurushiwa mawe siku moja maana si wote huwa wanafurahia mafanikio ya wengine. Mwisho hiyo nyumba ya udongo wala siyo lazima kabisa kuivunja na kujenga mpya ya tofali kama hujajipanga. Hiyo hiyo ya udongo inapigwa plasta, floor, rangi, boresha madirisha inakuwa Safi kabisa, yaani hata milioni 10 haziishi, tena waweza karabati kidogo kidogo tuu, leo milioni mbili unatulia, kesho tena milioni tatu unatulia mwisho unamaliza huku maisha ya mjini yanaendelea. Tukumbuke sote, hasa wale ambao bado wanaamini kurudi makwao kuzikwa wao au ndugu zao, ni muhimu sana kuandaa sehemu ya kufikia.
Comment yangu ilikuwa haina maana nyingine tofauti na kuonesha utu kwa mwenzetu alimpoteza mzazi wake. Unaweza ukanikadiria ujuavyo na pengine unaweza ukawa sahihi ama kinyume chake. Kwa kuwa hatufahamiani ngoja nisejisemee sana maana unaweza ukaamini ama usiamini pia. Tutangumize utu kwanza kabla ya kuanza kabla ya hayo mengine.
 
Wengine wamemtete wakisema eti hapa duniani tunapita hakuna haja ya kujenga

Wengine wakasema amjengee nani wakati alikuwa na mama yake tu?

Kwetu tunasema ujenge nyumba ya kulinda makaburi.

Wengine wakamtete eti yeye akifa atazikwa kwa mme wake,je kama hotooelewa? Au akifa kabla ya hiyo ndoa? Ya mungu mengi simsemi vibaya.

Hatumsemi vibaya ila msanii anaeweza vimba mjini na gari kali atawezaje shindwa hata mili 10 tu ajenge nyumba ya kawaida?

Kama angekuwa sisi watu wa kawaida tusokuwa na mishahara sawa hakuna shida.

Wasanii wanamiliki simu za mil 3 anapanga nyumba ya laki 5 kwa mwezi iweje usahau kuna maisha ya baadae?
Mimi uwa mawachekesha watu ofisini.nawambia mimi kama akitokea mzamini akanininulia macho matatu naiuza nanunua sumsung ya laki 4 wanacheka.

Ni kwakuwa sina hela labda ndo maana nina uchungu na hela.

Kwakweli katia aibu. Na mimi nikifa leo mkaenda nizika home mtacheka kidogo sana kuwa nyumba yetu imepitwa na wakati ila sio tope .na pale nyumbani pembeni msingi nilouweka pale mwezi ulotipa sio wa kitoto mtajua ninakoelekea.

Mi siwezi chezea pesa, hata ikitokea fala moja akanihonga hata laki siku zote elfu 50000 lazima niitume nyumbani, cement kwetu ni 26000, nondo 27000 trip ya mawe 70000, mchanga 60000,boma linataka tofali 20000, nataka msauzi bati 70 leo nianze kutumia macho matatu? Ni upuuzi.
Ningekuwa na nafasi ya kama hawa wasanii ningefanya vitu vya maana sana

Wasanii ni watu wa ovyo kabisa.

Ukijenga wewe kijiji kwenu instosha wengine waache wajenge mjini
 
Mtu kapanga kwenye gorofa Mbezi beach. Halafu kwao kuko hivi ?Aibu kwa kweli.
Ukitaka kujionyesha superstars kubali Gharama yake , huwez kuwaaminisha watu wa kuelewe unless kama na yeye angekuwa choka mbaya ...!! Kama ana maisha ya kuigiza na Hana chochote basi iwe funzo Kwa wasanii na wale wapenda show off ,
 
[emoji16]
Screenshot_20211224-192733.jpg
 
Mimi nilijua Luludiver ni mtoto wa yule alikuwa rais wa T.F.F akapigwa ndani na magu. Malinzi sijui?. Au ni mbili tofauti?

Huyo anaitwa diva the boss yupo wasafi fm
 
Ni vema kuishi kiuhslisia wakuu

Sio kwa mastaa wabongo bro we ukiona interviews zao utachoka yani mtu anahojiwa kuhusu gharama za Nguo na nywele anavyojikuta sasa utasema tajir sihuyu hapa eti hapa juu mpaka chini nimevaa million 10 mwisho wa siku kodi zinawashinda kulipa Kwenye nyumba zao zakupanga wanaishi maisha ya stress sana,,,
 
Back
Top Bottom