Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Tuna unafiki mwingi, kikubwa hanyeshewi na usingizi anapata kama wengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio jukumu langu kumjengea mzazi wangu nyumbaHayo maneno ya kujifariji ndg kumbuka home iyo inaonesha ata mzazi huwezi kumkumbuka maana kumkumbuka mzazi ni pamoja na kumjengea
Vipi na wewe hujajenga kwenu? [emoji13][emoji13]... Nadhani hapa mnatakiwa mjifunze kwamba Mola akiwapa kidogo kwenye maisha punguzeni majigambo, kujionesha kuwa mna mapesa na maisha ya juu. Sote kama binadamu kwa nyakati tofauti huwa tunapitia hizi changamoto za kuuguza wapendwa wetu, tena kwa muda mrefu, yote ni mipango ya Mungu. Lakini ukiwa kila dakika ni kuwaonyesha walimwengu kwamba wewe ni milionea na maisha umeyapatia basi jiandae kurushiwa mawe siku moja maana si wote huwa wanafurahia mafanikio ya wengine. Mwisho hiyo nyumba ya udongo wala siyo lazima kabisa kuivunja na kujenga mpya ya tofali kama hujajipanga. Hiyo hiyo ya udongo inapigwa plasta, floor, rangi, boresha madirisha inakuwa Safi kabisa, yaani hata milioni 10 haziishi, tena waweza karabati kidogo kidogo tuu, leo milioni mbili unatulia, kesho tena milioni tatu unatulia mwisho unamaliza huku maisha ya mjini yanaendelea. Tukumbuke sote, hasa wale ambao bado wanaamini kurudi makwao kuzikwa wao au ndugu zao, ni muhimu sana kuandaa sehemu ya kufikia.Mwache kwanza dada wa watu atulie, kupoteza mzazi sio masihara mkuu.
Kuigiza kuligoma vip mkuu? Mbona hata jana nimemuona huku DStv kwenye (Huba, Jua kali sijui) akitakia watu Christmas njemaMimi sioni cha ajabu hapo. Lulu Diva ni mpambanaji tu kama walivyo watu wengi nchi hii.
Alianza kuigiza, mambo yakagoma, akawa video vixen na sasa hivi anakomaa na kuimba.
Sasa sioni popote kama kuna sababu ya kushangaa.
[emoji12][emoji12][emoji12] Priorities...Kushangaa ni kuishi nyumba ya tope huku mjini akivimba na gari ya milion 30
Tatizo hamtaki kusikia ukweli, mnasingizia eti unafuatilia maisha ya watu [emoji12][emoji12]Ila na wewe mleta uzi kwanini unafuatilia maisha yasiyokuwa yako? Wazungu hawajengi nyumba wengi wao wanaishi kwenye nyumba za mbao na wamepangishwa napenda maisha halisi ya kijijini
Huyu si ndiye alisema mahari milioni 500??Hivi sasa anaigiza mkuu..
Tena in muigizaji mzuri anajitahidi
Ukitaka kumuona angalia tamthilia inaitwa jua Kali..anaigiza sambamba na Gara B
Yes, anaigiza vizuri sana, anajua kuuvaa uhalisia, kaitendea haki nafasi ya receptionist kwenye Jua KaliHivi sasa anaigiza mkuu..
Tena in muigizaji mzuri anajitahidi
Ukitaka kumuona angalia tamthilia inaitwa jua Kali..anaigiza sambamba na Gara B
Kwani nyumba ya kuishi haipo? Au wewe unataka jumba kubwa kama tembo, mtu mwenyewe anaishi Dar ajenge huko na Dar nani amjengee?Tatizo hamtaki kusikia ukweli, mnasingizia eti unafuatilia maisha ya watu [emoji12][emoji12]
Acha kudanganya watu, wazazi wako hawakuwa na mji wao huko kijijini?? Ukoo ni muunganiko wa familia mbalimbali.Mara nyingi vijijini kwetu huwa ni sehemu ya ukoo, hivyo ni ngumu sana kujenga wakati unajua fika pataleta shida. Tunajenga ikiwa tu una pesa za kutosha
Sasa kwa nini hataki nyumba ya tope ipigwe picha na kurushwa kwa group [emoji12][emoji12]?Hayo ni maisha yake.
Hata akilala juu ya miti.
[emoji1666][emoji1666][emoji106][emoji106]Wengine wamemtete wakisema eti hapa duniani tunapita hakuna haja ya kujenga
Wengine wakasema amjengee nani wakati alikuwa na mama yake tu?
Kwetu tunasema ujenge nyumba ya kulinda makaburi.
Wengine wakamtete eti yeye akifa atazikwa kwa mme wake,je kama hotooelewa? Au akifa kabla ya hiyo ndoa? Ya mungu mengi simsemi vibaya.
Hatumsemi vibaya ila msanii anaeweza vimba mjini na gari kali atawezaje shindwa hata mili 10 tu ajenge nyumba ya kawaida?
Kama angekuwa sisi watu wa kawaida tusokuwa na mishahara sawa hakuna shida.
Wasanii wanamiliki simu za mil 3 anapanga nyumba ya laki 5 kwa mwezi iweje usahau kuna maisha ya baadae?
Mimi uwa mawachekesha watu ofisini.nawambia mimi kama akitokea mzamini akanininulia macho matatu naiuza nanunua sumsung ya laki 4 wanacheka.
Ni kwakuwa sina hela labda ndo maana nina uchungu na hela.
Kwakweli katia aibu. Na mimi nikifa leo mkaenda nizika home mtacheka kidogo sana kuwa nyumba yetu imepitwa na wakati ila sio tope .na pale nyumbani pembeni msingi nilouweka pale mwezi ulotipa sio wa kitoto mtajua ninakoelekea.
Mi siwezi chezea pesa, hata ikitokea fala moja akanihonga hata laki siku zote elfu 50000 lazima niitume nyumbani, cement kwetu ni 26000, nondo 27000 trip ya mawe 70000, mchanga 60000,boma linataka tofali 20000, nataka msauzi bati 70 leo nianze kutumia macho matatu? Ni upuuzi.
Ningekuwa na nafasi ya kama hawa wasanii ningefanya vitu vya maana sana
Wasanii ni watu wa ovyo kabisa.
Muhonge laki mbili ili laki moja ikanunue simenti [emoji1787][emoji1787]Huo mguu wako
Ova
Pia hayo NI maisha yakeSasa kwa nini hataki nyumba ya tope ipigwe picha na kurushwa kwa group [emoji12][emoji12]?
Aiseeee [emoji12]Demu wako akikuomba laki mpe wengine 50000 tunatumaga home[emoji23]
Hili silijui mkuuHuyu si ndiye alisema mahari milioni 500??
Lulu akifa leo atapelekwa hapo kwa kuwa mjini kapanga, hata Kama palikua ndoto za mama yake alipaswa kubadilisha kidogo. Acheni kutetea ujinga
Mimi kwao na baba yangu kwavile Ni marehemu siwezi kutumia nguvu zangu kujenga sembuse ujombani,, humu wengi watoto ama la wamebahatika kuzaliwa ktika familia zisizo na mkanganyiko na migogoro,nani huku anaweza jenga kwa wajomba. Au hapo ni kwa mume wa mamake