Kutana na Luludiva; superstar anayeishi nyumba ya tope

Kutana na Luludiva; superstar anayeishi nyumba ya tope

Sijui je kahe IPO mkoa upi labda? Wenyeji wa pale sio wachaga?

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Kahe huko si kwa wapare huko, nasemea vijiji vya uchagani viko vizuri na hata ukienda kule upareni milimani Kuna nyumba nyingi za block nzuri tu nimefika huko kote, kwa Tanzania sehemu yenye makazi Bora ni Moshi mzee
 
Mkuu hamna nyumba mbovu hata za tope zimeshaisha kabisa nyumba nzuri kuliko hizi za Dar bana with well planed streets
Sina shida with how the city is planned, swala langu la msingi ni uwepo wa nyumba za tope katika vijiji vya uchagani.

Wewe umedai katika vijiji vya uchagani hakuna nyumba za tope, kuna nyumba kali kuliko hâta hizi za huku dar.

Ni kijiji gani hicho?
 
Kahe huko si kwa wapare huko, nasemea vijiji vya uchagani viko vizuri na hata ukienda kule upareni milimani Kuna nyumba nyingi za block nzuri tu nimefika huko kote, kwa Tanzania sehemu yenye makazi Bora ni Moshi mzee
Kwa TANZANIA sehemu yenye makazi bora ni Moshi?😂
 
Sina shida with how the city is planned, swala langu la msingi ni uwepo wa nyumba za tope katika vijiji vya uchagani.

Wewe umedai katika vijiji vya uchagani hakuna nyumba za tope, kuna nyumba kali kuliko hâta hizi za huku dar.

Ni kijiji gani hicho?
za tope zipo

nyumba kali pia zipo ndiyo kali zaidi ya dar.
 
Sina shida with how the city is planned, swala langu la msingi ni uwepo wa nyumba za tope katika vijiji vya uchagani.

Wewe umedai katika vijiji vya uchagani hakuna nyumba za tope, kuna nyumba kali kuliko hâta hizi za huku dar.

Ni kijiji gani hicho?
Nakwambia hizo nyumba zimeisha za tope kabisa tena tangu nikiwa mdogo, na Kuna nyumba nzuri za standard nzuri kabisa kuliko nyumba nyingi za humu dar, tena Zina garden nzuri, na tangu utoto I watu walikuwaga na umeme kabla hata ya huu wa REA kuja ambako wengine wanaunganishwa kwa 9000 tu na hawataki.
 
we ni mchaga kweli?
mimi nimchaga na nyumbani Ni Kisambo nyumba za tope zipo vizuri tuu.
Kisambo ni nini hicho maana uchaggani kwetu hamna tope kabisa, huko kwenu ka Kuna tope mna laana bado maana hata Utu kishimundu kuko vizuri, kwa watani wetu nyumba za tope karibia ziishe, kabisa wewe si wa uchagani acha ubishi, maana Kilimanjaro nimetembea kote huko
 
Weka picha, usikute umeona huko kahe kama huyu mwemzako
Mchaga hawez kubali huo ujinga wa kujionyesha ana magari anakula bata alafu home alikotoka kuna nyumba za tope tena tope kweli kweli la makuti , hata usukumani huwez kuta hzo nyumba , angalau kule kuna tope za tofari ....!! Ni mhimu kukumbuka ulikotoka jamani
 
Sure mkuu mtu unakuaje na iphone 13 huku kwenu tope ni aibu iliyotukuka sana, tena mtu maarufu una connection use it to get money, tukumbuke vijijini kwetu Ili kusiwe mapori mapori, Sasa Moshi watu hushindana kimaendeleo kila mtu anajitahidi Sasa na wewe ubaki mwenyewe ni aibu hata Wana ukoo watakuita kikao, na ka umebanwa waweza Jenga hata nyumba nzuri ya tofali ya kuchomwa unaweka bati na kupiga Ile plaster na sakafu chini Ili ku damshi
 
Kisambo ni nini hicho maana uchaggani kwetu hamna tope kabisa, huko kwenu ka Kuna tope mna laana bado maana hata Utu kishimundu kuko vizuri, kwa watani wetu nyumba za tope karibia ziishe, kabisa wewe si wa uchagani acha ubishi, maana Kilimanjaro nimetembea kote huko
Sawa endelea kujisifu uongo.
 
Wewe ni mgeni Afrika mashariki?
Hiyo haiitwi nyumba ya tope...ni mbavu za mbwa!
 
Kama taifa tumepotea sana...,
Haya mambo unayofanya mleta uzi ndio definition ya uchawi...., sio mpaka uloge hata matendo / kufuatilia / kudemonize watu pia ni stages tofauti tofauti za uchawi...
 
Hivi huyu Lulu Diva ni superstar wa kitu gani?
Actress, musician au ni mchekeshaji?
Kwa hakika sijui mnijuze
Wanagawiana tu usiper star. Mfano demu akigongwa na Diamond akaja kugongwa na T.I.D. akapitiwa na kiba. Halafu akaja kumalizia wengine wengine,huyo tayari wanampandisha cheo cha usuper star. Halafu super star huku hana hela.
 
Mimi nilijua Luludiver ni mtoto wa yule alikuwa rais wa T.F.F akapigwa ndani na magu. Malinzi sijui?. Au ni mbili tofauti?
 
Asilimia kubwa ya watu wanaomsema huyo dada wazazi wao hata nyumba kama hiyo hawana wamepangasha mpaka leo hii
Muachane yale ni maisha yao ya asili na huenda alitaka mkajifunze kitu kupitia huo msiba
 
Back
Top Bottom