Kutana na Luludiva; superstar anayeishi nyumba ya tope

nyumba kwa hawa superstars sio kisogo kuwa lazima kila suerstar awe nayo...usupastaa na uwezo wa kujenga nyumba ni vitu havifanani sababu sio kila maarufu ana ela ya kumuwezesha kufanya hivyo...maisha ni kuchagua na yeye pia kuna vitu anavyo na wengine hawana...mfano yeye ni maarufu(kuna wengi wana nyumba lakini sio maarufu) kwa hiyo sio lazima sana kwa mtu hata kama ni superstar kuwa na kila kitu...haya ni maisha tu.!
 

Katika maisha ya waafrika mifumo yetu nyumba ni moja ya mafanikio ndio maana mashirika yetu ya nyumba yanafilisika sana kwani mwafrika anaamini kujenga yeye mwenyewe hata kama ni substandard
 
Halafu nilikuwa namdharau kweli baada ya video zake za kumuuguza mama yake na interviews zake nikajua kichwani ana kitu[emoji848]

Tofauti na hawa wenzie, basi tu maisha yanamgomea
Huenda sasa yatanyooka inawezekana kipato kiliishia kuuguza
 
Acha hizo, mbona pesa za kubadilisha magari na kununua mawigi ya milion 10 anazo? Yeye mwenyewe alisema wigi lake milion 10, hapa watu wanazungumzia kujenga nyumba unaleta habari za sijui alikua anauguza.
Bila huo uongo si ajabu asingemtibu mama yake
 
Ndomaana nikamuuliza huyo anaedai kuwa uchagani hakuna nyumba za tope[emoji23].

Hili Kabila huwa linajikuta aje sijui, mimi uchagani sidanganywi CHOCHOTE kule, nyumba za tope za kutosha tu.
Njombe hakuna nyumba za tope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…