Pre GE2025 Kutana na Mbunge wa CCM asiyejua CT SCAN

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
acha upotoshaji...

politics is all about interests....

what is your interest in political administration 🐒

kama hafahamu au huelewi hiyo utababaika, utapotoka na kupotosha wengine tu na haita kua na maana yoyote wasio elewa siasa kupotoshana 🐒

no one in politics can inherit interests, priorities, style of leadership, plans etc from other past administrators...
nothing like that in politics 🐒

no one can inherit blame and failures of past administrators in politics...

ukiona chochote kinabadilishwa na kiongozi yeyote anaeingia madarakani mathalani trump, Putin, Samia, Ruto au netanyahu that is their political interests at their time in power 🐒
 
Na bado kuna Wapumbavu humu ndani wanamtetea


Mkuu Kama umepata nafasi ya kufanya kazi na wabunge na mawaziri hapa Tz utagundua huyo Mama ana nafuu Sana katika kufanya mambo.

2025 Anagombea jimbo la sikonge huyo na Anatoboa .

Nimepata Bahati ya kukaa na wabunge wengi Ila huyo ndo ana nafuu na yupo karibu na watu

Ukimpigia simu anapokea muda huo huo hana shida na anakusaidia


Watu smart hapa hawataki siasa hivyo watu wa kawaida ujiingiza so tuangalia positive katika kila negative.👏🏼
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeamini leo, mama angu aliwahi nambia "mwanangu kosa na pungukiwa vyote, ila sio akili, Elimu na exposure"

Mbunge mzima tena anakazia na kufoka kwa kusifia, kumbe kichwani ni kopo tupu, woiiiiiiih.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 


Huyo mama yupo mjengoni toka 2010

Maana yake Ana exposure, experience na Akili anazo.

Kinachotokea hapa kwake ni kukosa mfumo au formality ya kuwa na mawazo huru.

Huwezi kujikita katika kushambulia ukaona ukweli mpaka ujikite katika kujenga .
 
Huyo mama yupo mjengoni toka 2010

Maana yake Ana exposure, experience na Akili anazo.

Kinachotokea hapa kwake ni kukosa mfumo au formality ya kuwa na mawazo huru.

Huwezi kujikita katika kushambulia ukaona ukweli mpaka ujikite katika kujenga .
Hivyo vyote hana, angekua navyo asingejichanganyaa.

Tena nadiriki kusema ni mpumbavuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Imagine huyu sasa Ndio Mama Mkwe wako?!
 
Ebwanae, yaani huyu ndio ananafuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…