Kutana na mzee wa miaka 64 anayependa kuvaa viatu virefu vya kike

Mshangazi dot com

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
1,345
Reaction score
3,503
Kama waafrika, tujivunie sana tamaduni na maadili yetu, mambo yanayoendelea huko duniani kwingine yanastaajabisha.

Mark Bryan ni Injinia, mume na baba wa watoto watatu. Anapenda kuvaa viatu virefu vya kike na sketi kwa sababu vinamvutia na anaamini vinampendeza. Mkewe na watoto wake wamemkubali na hali yake kama alivyo.

Mbali na taaluma yake, Mark pia ni kocha wa mpira wa wanaume na hayuko kwenye jamii ya LGBTQIA kwa sababu maisha yake yote amekua akivutiwa kimahusiano na wanawake na si wanaume.

Unadhani nini kinaweza kusababisha hali hii?

Ungekua mtoto wake ungefanya nini?

Ukikutana naye barabarani, utamshauri au kumuambia nini?





View: https://youtu.be/1kKFXI52m1Q?si=oT-eEvo1aosv2tEh

 
Eeeh hatari sanaa 😛😛
 
Huyu anatumika katika ulimwengu wa Giza, ama kwa kujua au kwa kutojua.
 
Shoga hilo
 
Ana laana huyo c bure
 
Mark Bryan ni Injinia, mume na baba wa watoto watatu. Anapenda kuvaa viatu virefu vya kike na sketi kwa sababu vinamvutia na anaamini vinampendeza. Mkewe na watoto wake wamemkubali na hali yake kama alivyo.
Wamejaribu kumpeleka kupimwa kichwa au vimiminika vya mwili kubaini shida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…