Kutana na mzee wa miaka 64 anayependa kuvaa viatu virefu vya kike

Kutana na mzee wa miaka 64 anayependa kuvaa viatu virefu vya kike

Engineer moja kati ya career zinazohitaji watu wenye akili timamu

Ndio maana nasema(ga) engineer ni popo tu, anaekunya kageuka upside down!
 
Kama waafrika, tujivunie sana tamaduni na maadili yetu, mambo yanayoendelea huko duniani kwingine yanastaajabisha.

Mark Bryan ni Injinia, mume na baba wa watoto watatu. Anapenda kuvaa viatu virefu vya kike na sketi kwa sababu vinamvutia na anaamini vinampendeza. Mkewe na watoto wake wamemkubali na hali yake kama alivyo.

Mbali na taaluma yake, Mark pia ni kocha wa mpira wa wanaume na hayuko kwenye jamii ya LGBTQIA kwa sababu maisha yake yote amekua akivutiwa kimahusiano na wanawake na si wanaume.

Unadhani nini kinaweza kusababisha hali hii?

Ungekua mtoto wake ungefanya nini?

Ukikutana naye barabarani, utamshauri au kumuambia nini?

View attachment 3240168
View attachment 3240169


View: https://youtu.be/1kKFXI52m1Q?si=oT-eEvo1aosv2tEh

View attachment 3240170
View attachment 3240171

Upinde🌈🌈
 
Huyu anatumika katika ulimwengu wa Giza, ama kwa kujua au kwa kutojua.
Nguo za kike zina ulimwengu wa giza? Mbona mwanamke akivaa tisheti nà jeans hamsemi anatumika katika ulimwengu wa giza?
 
Nguo za kike zina ulimwengu wa giza? Mbona mwanamke akivaa tisheti nà jeans hamsemi anatumika katika ulimwengu wa giza?
Sio kila kitu cha kubishana, mwanaume kuvaa kiatu cha mchuchumio hiyo ni akili ya kawaida?
 
upinde wamejaa kibao huko south, nadhani imeshakubalika huko kwao. Yule aliyepigwa risasi tatizo alikuwa mvaa kobasi halafu imamu
Labda jamaa wangelipua huo msikiti wake, na pale naskia alitoka kufungisha ndoa.
Sijui huwa wanatumia vifungu gani kuhalalisha hizo ndoa
 
Back
Top Bottom