To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
SahihiAnaonekana anajua kuvitembelea vizuri kuliko mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SahihiAnaonekana anajua kuvitembelea vizuri kuliko mimi
Hata Imamu hakumuua mpaka vijana wakakoki vyuma, ndivyo imani yao invyowaamuru.Mungu mwenyewe kashindwa kuulipua?
Hapa bongo wameshindwa. Magasho wapo wazi wazi tena wa imani yaoHata Imamu hakumuua mpaka vijana wakakoki vyuma, ndivyo imani yao invyowaamuru.
Wanawatupia lawama USHapa bongo wameshindwa. Magasho wapo wazi wazi tena wa imani yao
Anajaribu kutafuta watu wa kumkopi style yake na hapati mtu si kila kitu ni cha kukop (in late magu voice)Eeeh hatari sanaa 😛😛
Mi pia nimelia sana 😂😭😭Anaonekana anajua kuvitembelea vizuri kuliko mimi
Yote hayo yepii? 😂😂😂😂Abanwe vizuri atasema yote
Sema wee, akati South hadi ndoa za mashoga ni halali na ruksa.upinde wamejaa kibao huko south, nadhani imeshakubalika huko kwao. Yule aliyepigwa risasi tatizo alikuwa mvaa kobasi halafu imamu
Sasa Ushoga unahusiana nn na akili timamu? Mbna kuna gays wengi hapa Bongo ni Engs.Engineer moja kati ya career zinazohitaji watu wenye akili timamu
Ndio maana nasema(ga) engineer ni popo tu, anaekunya kageuka upside down!
Kama waafrika, tujivunie sana tamaduni na maadili yetu, mambo yanayoendelea huko duniani kwingine yanastaajabisha.
Mark Bryan ni Injinia, mume na baba wa watoto watatu. Anapenda kuvaa viatu virefu vya kike na sketi kwa sababu vinamvutia na anaamini vinampendeza. Mkewe na watoto wake wamemkubali na hali yake kama alivyo.
Mbali na taaluma yake, Mark pia ni kocha wa mpira wa wanaume na hayuko kwenye jamii ya LGBTQIA kwa sababu maisha yake yote amekua akivutiwa kimahusiano na wanawake na si wanaume.
Unadhani nini kinaweza kusababisha hali hii?
Ungekua mtoto wake ungefanya nini?
Ukikutana naye barabarani, utamshauri au kumuambia nini?
View attachment 3240168
View attachment 3240169
View: https://youtu.be/1kKFXI52m1Q?si=oT-eEvo1aosv2tEh
View attachment 3240170
View attachment 3240171
Hio ni akili ya darasani sio akili timamuSasa Ushoga unahusiana nn na akili timamu? Mbna kuna gays wengi hapa Bongo ni Engs.
Basi imamu wamemuonea😀Sema wee, akati South hadi ndoa za mashoga ni halali na ruksa.
Wabongo utawaweza? Akili finyu zimewajaa kichwani, wanahaha na mavazi akati zamani wazee walikua wanakaa uchi.Tembeeni muone mengi nchi za Papua New Guinea,Bahamas,Scotland,Bhutan n.k wanaume kuvaa ni vazi la kawaida inaitwa Kilt tartan
Utamaduni wako usiulazimishe kwa mwenzio hata wewe kuna nchi ukienda ukivaa suruali watakushangaa kidogo nenda Afghanistan na Bhutan.
Hapa kwetu wamasai wa kule mbugani bado wanavaa lubega lakini vile tumewazoea hatuwashangai lakini ni vazi la heshima sana.
Picha angalieni mfalme Charles 111 wa Wingereza kavaa Skate utasema ni shoga?.Picha ingine huyo sio mmasai ila kavaa vazi kwa kwetu ni la kimasai akienda sehemu zingine watamshangaa.
Uganda kuna shule ya sekondari imejengwa na wa Scotland je utasema wanafunzi ni mashoga.
Mbona waarabu wanavaa kikoi na msuli hamsemi
Hivi unajua unacho kiandika lakini? 😂😂😂Hio ni akili ya darasani sio akili timamu
Wafuasi wa Mudi huwajui? Wazee wa proud of, kujilipua na kujitoa muhanga kwao ndo maazimio.Basi imamu wamemuonea😀