Kutana na Rais wa wanaume wanaopigwa na wake zao, Ndg Komba

Kutana na Rais wa wanaume wanaopigwa na wake zao, Ndg Komba

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
1669556675009.jpeg

Wanaume tumeumbwa kuzitawala nyumba zetu.
Na hili ni pamoja na mke na watoto na wote wanaolala nyumbani mwako.

Na hii ndio maana ya kichwa cha familia.

Kuna huyu Ndg Komba, yeye si kichwa bali mkia wa familia.
Anaeleza kuwa , huwa anasokomezwa makonde mazito mazito na mkewe!

Mimi bado sijamwelewa vizuri ana tatizo gani!

Je wandugu hili tatizo lipo?
Na tunalitatuaje?
 
Kuna wanaoning’inizwa kisawasawa.
Wanawake hatari sana.
Kuna jamaa alikatwa dhakari kabisa kwa kudhaniwa anatembea nje.
 
Ni aibu kwa mwanaume kuongelea yanayomsibu nyumbani kwake lakini wengi upitia mateso makubwa Sana toka kwa wanawake wapumbavu.
 
Unapotaka oa mchunguze mama yake, kama alikuwa ngumi jiwe kwa baba yake nawe jiandae kupigwa na mwanamke
Mke wangu baada ya kuoana mwaka mmoja, alidiriki kunikunja na kunipiga.
Hicho kichapo alichoshushiwa ilikuwa balaa, hadi nilimhurumia na kumwambia asijethubutu kurudia hilo kosa tena.
 
Hivi mwanamke ananipigia kwenye nyumba yangu au kwake nikiwa kama Mario? Kwangu ataanzaje? Nitawaita NDUGU zake wamchukue waondoke nae na asionekane kwangu, nitaingiza mwanamke anaeniheshimu. Mimi Sina cha alichounganisha Mungu binadamu asitenganishe. Ninatengua tu chapchap.
 
Mzee mwenzangu upo timamu kweli?(sorry). Unampiga mkeo akikuua usiku au kukumwagia maji ya moto je?
Mimi tangu nijue jinsi ulimwengu wa giza unavyofanya Kazi najizuia kumpiga mwanamke hata anitukane vipi bora nikalale nje.Wengi baada ya kuua ile spirit ndipo uondoka ndipo majuto huja.Nani atakulelewa watoto wako ulimwengu wa sasa wa tabia za watu zimebadilika.
Kwann uishi na kichaa wakati wenye akili timamu wamejaa.
Wakorofi waoane wenyewe.
 
Back
Top Bottom