Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Mke wangu baada ya kuoana mwaka mmoja, alidiriki kunikunja na kunipiga.Unapotaka oa mchunguze mama yake, kama alikuwa ngumi jiwe kwa baba yake nawe jiandae kupigwa na mwanamke
Wengine ni mapepo unaweza ukaoa shetani japo alikuwa mtakatifu mwanzoMke wangu baada ya kuoana mwaka mmoja, alidiriki kunikunja na kunipiga.
Hicho kichapo alichoshushiwa ilikuwa balaa, hadi nilimhurumia na kumwambia asijethubutu kurudia hilo kosa tena.
Na kwa nini upigwe?Unapotaka oa mchunguze mama yake, kama alikuwa ngumi jiwe kwa baba yake nawe jiandae kupigwa na mwanamke
Mzee mwenzangu upo timamu kweli?(sorry). Unampiga mkeo akikuua usiku au kukumwagia maji ya moto je?Mke wangu baada ya kuoana mwaka mmoja, alidiriki kunikunja na kunipiga.
Hicho kichapo alichoshushiwa ilikuwa balaa, hadi nilimhurumia na kumwambia asijethubutu kurudia hilo kosa tena.
Wapo kina mama ni mandonga ngumi waliona kwa mama zao,then unakuta mwanaume mpole anaogopa jela.Na kwa nini upigwe?
Nani kakuambia ukipiga unakwenda jela? Mbona yeye haogopi jela?Wapo kina mama ni mandonga ngumi waliona kwa mama zao,then unakuta mwanaume mpole anaogopa jela.
Kupitiliza kupiga hadi mtu anazindukia kuzimu,hapo jela unaikwepajeNani kakuambia ukipiga unakwenda jela? Mbona yeye haogopi jela?
Mimi tangu nijue jinsi ulimwengu wa giza unavyofanya Kazi najizuia kumpiga mwanamke hata anitukane vipi bora nikalale nje.Wengi baada ya kuua ile spirit ndipo uondoka ndipo majuto huja.Nani atakulelewa watoto wako ulimwengu wa sasa wa tabia za watu zimebadilika.Mzee mwenzangu upo timamu kweli?(sorry). Unampiga mkeo akikuua usiku au kukumwagia maji ya moto je?
Kweli kuna wanawake makatili hadi unajiuliza kama kweli huyo mwanamke ana roho ya Mungu ndani yake.Wengine ni mapepo unaweza ukaoa shetani japo alikuwa mtakatifu mwanzo