Jidu La Mabambasi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 16,419 Reaction score 26,594 Nov 28, 2022 Thread starter #21 Mkulungwa01 said: Mzee mwenzangu upo timamu kweli?(sorry). Unampiga mkeo akikuua usiku au kukumwagia maji ya moto je? Click to expand... Mkuu lazima hapo ucheze kama pele, unampenda huyo mkeo lakini akipitiliza lazima kumrudisha kwenye mstari.
Mkulungwa01 said: Mzee mwenzangu upo timamu kweli?(sorry). Unampiga mkeo akikuua usiku au kukumwagia maji ya moto je? Click to expand... Mkuu lazima hapo ucheze kama pele, unampenda huyo mkeo lakini akipitiliza lazima kumrudisha kwenye mstari.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Nov 28, 2022 #22 mapesa yamejaa said: Mwanaume aliyekamilika hawezi kutawaliwa na mwanamke .Ningekuwa karibu na huyo rais ningemzaba kofi kabisa.anatudhalilisha wanaume tunaojitambua Click to expand... Absolutely no.
mapesa yamejaa said: Mwanaume aliyekamilika hawezi kutawaliwa na mwanamke .Ningekuwa karibu na huyo rais ningemzaba kofi kabisa.anatudhalilisha wanaume tunaojitambua Click to expand... Absolutely no.
S Showmax JF-Expert Member Joined Nov 18, 2022 Posts 6,592 Reaction score 12,707 Nov 28, 2022 #23 Jidu La Mabambasi said: Kweli kuna wanawake makatili hadi unajiuliza kama kweli huyo mwanamke ana roho ya Mungu ndani yake. Click to expand... Shida ni malezi
Jidu La Mabambasi said: Kweli kuna wanawake makatili hadi unajiuliza kama kweli huyo mwanamke ana roho ya Mungu ndani yake. Click to expand... Shida ni malezi
S Showmax JF-Expert Member Joined Nov 18, 2022 Posts 6,592 Reaction score 12,707 Nov 28, 2022 #24 mapesa yamejaa said: Mwanaume aliyekamilika hawezi kutawaliwa na mwanamke .Ningekuwa karibu na huyo rais ningemzaba kofi kabisa.anatudhalilisha wanaume tunaojitambua Click to expand... Kama ulikosea kuoa una chaguzi mbili uvumilie au upige chini.Kuna wanawake wababe kama wakurya
mapesa yamejaa said: Mwanaume aliyekamilika hawezi kutawaliwa na mwanamke .Ningekuwa karibu na huyo rais ningemzaba kofi kabisa.anatudhalilisha wanaume tunaojitambua Click to expand... Kama ulikosea kuoa una chaguzi mbili uvumilie au upige chini.Kuna wanawake wababe kama wakurya