Ina maana hata kufunga vifungo hajui?
Huyu anatafuta publicity tu.
Anafanana sana na Dr. Slaa na Prof. Baregu.
This is in the process to be challenged by Dr. Olga, she seems to say Smart work pays.Hiiyo picha imemuongezea umaarufu sana huyu mwandishi, hard work pays
una utani sana na pinda wewe ..,maana pinda ndio mkulima namba moja katika hii nchiNi shida!hata wakulima vijijini wakienda sokoni wanavaa vizuri,huyu kapitiliza
Raphael Tenthani, ripota wa BBC kutoka Malawi ndani ya pozi kwenye red carpet.
Raphael Tenthani - Wikipedia, the free encyclopedia