Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Mbna kamati nying zmepita na hakuna loloteNafasi kama hizo ukiteuliwa ujue hauko peke yako, kuna kivuli kinakufuata kama ilivyo wakati wa jua, na kuna mwangwi wa sauti yako unajirudia ndani ya jengo. Kwa waliosoma Cuba wataelewa
Bwashee hakuna mkate mgumu mbele ya chaiKwa umri wangu nimebakiwa na jukumu la kutumikia Kanisa tu [emoji3]
Kariakoo kuna risks nyingi sana. Ukiacha uimara wa majengo bado kuna ukosefu wa hewa kwenye vizimba. Ongezea msongamano wa watu na magari unaohatarisha afya ya akili.Kamati ya kuchunguza majengo/ Maghorofa Kariakoo imetangazwa leo hadharani.
Wajumbe wote watakohusika katika kamati wamewekwa hadharani leo na Waziri Mkuu, hii inaweza kuwa kosa kubwa la kiufundi kwa sababu wenye majengo watakuwa wamepata fursa ya kuwajua wakaguzi na kujipanga mapema.
Katika kamati yenye wajumbe wengi hivyo sio rahisi kukosekana watu ambao wako tayari kufanya mazungumzo ya "kusaidiana" na wamiliki wa majengo nje ya kamati hali inayoweza kufanya ripoti kusingwa hapa na pale.
Nafikiri ilitosha kutangaza Mwenyekiti na katibu wa kamati tu, vinginevyo inaweza kulazimika tena kuunda kamati ya kuwafuatilia walio kwenye kamati.
Kwani ulipo sikia tamko la kuundwa kamati kama hiyo uliamini kuwa kutakuwepo na uchunguzi wa uhakika juu ya jambo hilo?Kamati ya kuchunguza majengo/ Maghorofa Kariakoo imetangazwa leo hadharani.
Wajumbe wote watakohusika katika kamati wamewekwa hadharani leo na Waziri Mkuu, hii inaweza kuwa kosa kubwa la kiufundi kwa sababu wenye majengo watakuwa wamepata fursa ya kuwajua wakaguzi na kujipanga mapema.
Katika kamati yenye wajumbe wengi hivyo sio rahisi kukosekana watu ambao wako tayari kufanya mazungumzo ya "kusaidiana" na wamiliki wa majengo nje ya kamati hali inayoweza kufanya ripoti kusingwa hapa na pale.
Nafikiri ilitosha kutangaza Mwenyekiti na katibu wa kamati tu, vinginevyo inaweza kulazimika tena kuunda kamati ya kuwafuatilia walio kwenye kamati.
Duh!Kwa umri wangu nimebakiwa na jukumu la kutumikia Kanisa tu π
Uko sawa kabisa, mimi naona kwa tume inayochunguza jambo nyeti kama hili, hata M/kiti na Katibu hawakutakiwa kujulikana hadharani.Kamati ya kuchunguza majengo/ Maghorofa Kariakoo imetangazwa leo hadharani.
Wajumbe wote watakohusika katika kamati wamewekwa hadharani leo na Waziri Mkuu, hii inaweza kuwa kosa kubwa la kiufundi kwa sababu wenye majengo watakuwa wamepata fursa ya kuwajua wakaguzi na kujipanga mapema.
Katika kamati yenye wajumbe wengi hivyo sio rahisi kukosekana watu ambao wako tayari kufanya mazungumzo ya "kusaidiana" na wamiliki wa majengo nje ya kamati hali inayoweza kufanya ripoti kusingwa hapa na pale.
Nafikiri ilitosha kutangaza Mwenyekiti na katibu wa kamati tu, vinginevyo inaweza kulazimika tena kuunda kamati ya kuwafuatilia walio kwenye kamati.
Kamati hizi huundwa kwa masilahi ya umma jambo la msingi hapo liwe matokeo ya uchunguzi yajulikane kwa umma, tumekuwa tukishuhudia tume nyingi zikiundwa nyuma ya mikamera majibu ya tume hizo nyuma ya paziaKamati ya kuchunguza majengo/ Maghorofa Kariakoo imetangazwa leo hadharani.
Wajumbe wote watakohusika katika kamati wamewekwa hadharani leo na Waziri Mkuu, hii inaweza kuwa kosa kubwa la kiufundi kwa sababu wenye majengo watakuwa wamepata fursa ya kuwajua wakaguzi na kujipanga mapema.
Katika kamati yenye wajumbe wengi hivyo sio rahisi kukosekana watu ambao wako tayari kufanya mazungumzo ya "kusaidiana" na wamiliki wa majengo nje ya kamati hali inayoweza kufanya ripoti kusingwa hapa na pale.
Nafikiri ilitosha kutangaza Mwenyekiti na katibu wa kamati tu, vinginevyo inaweza kulazimika tena kuunda kamati ya kuwafuatilia walio kwenye kamati.
Kwani Inji hii ni lazima kila mtu akule mlungura. ??????! π³πKamati ya kuchunguza majengo/ Maghorofa Kariakoo imetangazwa leo hadharani.
Wajumbe wote watakohusika katika kamati wamewekwa hadharani leo na Waziri Mkuu, hii inaweza kuwa kosa kubwa la kiufundi kwa sababu wenye majengo watakuwa wamepata fursa ya kuwajua wakaguzi na kujipanga mapema.
Katika kamati yenye wajumbe wengi hivyo sio rahisi kukosekana watu ambao wako tayari kufanya mazungumzo ya "kusaidiana" na wamiliki wa majengo nje ya kamati hali inayoweza kufanya ripoti kusingwa hapa na pale.
Nafikiri ilitosha kutangaza Mwenyekiti na katibu wa kamati tu, vinginevyo inaweza kulazimika tena kuunda kamati ya kuwafuatilia walio kwenye kamati.
Hii ndio point kuu katika huu mjadala ππKamati hizi huundwa kwa masilahi ya umma jambo la msingi hapo liwe matokeo ya uchunguzi yajulikane kwa umma, tumekuwa tukishuhudia tume nyingi zikiundwa nyuma ya mikamera majibu ya tume hizo nyuma ya pazia
Akili mtu wangu.Kamati ya kuchunguza majengo/ Maghorofa Kariakoo imetangazwa leo hadharani.
Wajumbe wote watakohusika katika kamati wamewekwa hadharani leo na Waziri Mkuu, hii inaweza kuwa kosa kubwa la kiufundi kwa sababu wenye majengo watakuwa wamepata fursa ya kuwajua wakaguzi na kujipanga mapema.
Katika kamati yenye wajumbe wengi hivyo sio rahisi kukosekana watu ambao wako tayari kufanya mazungumzo ya "kusaidiana" na wamiliki wa majengo nje ya kamati hali inayoweza kufanya ripoti kusingwa hapa na pale.
Nafikiri ilitosha kutangaza Mwenyekiti na katibu wa kamati tu, vinginevyo inaweza kulazimika tena kuunda kamati ya kuwafuatilia walio kwenye kamati.
Wamefanya maksudi...hivi kumbe hii nchi hauijui?????Kamati ya kuchunguza majengo/ Maghorofa Kariakoo imetangazwa leo hadharani.
Wajumbe wote watakohusika katika kamati wamewekwa hadharani leo na Waziri Mkuu, hii inaweza kuwa kosa kubwa la kiufundi kwa sababu wenye majengo watakuwa wamepata fursa ya kuwajua wakaguzi na kujipanga mapema.
Katika kamati yenye wajumbe wengi hivyo sio rahisi kukosekana watu ambao wako tayari kufanya mazungumzo ya "kusaidiana" na wamiliki wa majengo nje ya kamati hali inayoweza kufanya ripoti kusingwa hapa na pale.
Nafikiri ilitosha kutangaza Mwenyekiti na katibu wa kamati tu, vinginevyo inaweza kulazimika tena kuunda kamati ya kuwafuatilia walio kwenye kamati.
Kamati juu ya kamati, baada ya hapo watakaa kimya watangoja tena Jengo lingine liporomoke then watakuja na kamati tenaKamati ya kuchunguza majengo/ Maghorofa Kariakoo imetangazwa leo hadharani.
Wajumbe wote watakohusika katika kamati wamewekwa hadharani leo na Waziri Mkuu, hii inaweza kuwa kosa kubwa la kiufundi kwa sababu wenye majengo watakuwa wamepata fursa ya kuwajua wakaguzi na kujipanga mapema.
Katika kamati yenye wajumbe wengi hivyo sio rahisi kukosekana watu ambao wako tayari kufanya mazungumzo ya "kusaidiana" na wamiliki wa majengo nje ya kamati hali inayoweza kufanya ripoti kusingwa hapa na pale.
Nafikiri ilitosha kutangaza Mwenyekiti na katibu wa kamati tu, vinginevyo inaweza kulazimika tena kuunda kamati ya kuwafuatilia walio kwenye kamati.
Very true mkuu, sijui kwanini viongozi wetu wanatafuta majibu mepesi ktk mambo muhimu!Angetumwa CAG tu anacho kitengo cha Wahandisi wa Mipango Miji