Kutangazwa hadharani wajumbe wa kamati nzima ya uchunguzi majengo Kariakoo ni kosa la kiufundi

Nafasi kama hizo ukiteuliwa ujue hauko peke yako, kuna kivuli kinakufuata kama ilivyo wakati wa jua, na kuna mwangwi wa sauti yako unajirudia ndani ya jengo. Kwa waliosoma Cuba wataelewa
Mbna kamati nying zmepita na hakuna lolote
 
Naomba kuuliza, mambo mengi hutokea. Wanasema wanaunda kamati/tume kuchunguza. Je kuna ambayo ilifanikiwa, ikaja na majibu ya kueleweka. Yakafanyiwa kazi na watu wakawajibishwa?

Mimi naona huwa wanawazuga wananchi tu, pesa wanagawana na kamati. Watanzania Dec tu washasahau, mambo yanaishia hapo. Mwenye ghorofa anaweza uza eneo ama akajenga upya. Maisha yanaendelea.
 
Kamati ya kuchunguza majengo/ Maghorofa Kariakoo imetangazwa leo hadharani.

Wajumbe wote watakohusika katika kamati wamewekwa hadharani leo na Waziri Mkuu, hii inaweza kuwa kosa kubwa la kiufundi kwa sababu wenye majengo watakuwa wamepata fursa ya kuwajua wakaguzi na kujipanga mapema.

Katika kamati yenye wajumbe wengi hivyo sio rahisi kukosekana watu ambao wako tayari kufanya mazungumzo ya "kusaidiana" na wamiliki wa majengo nje ya kamati hali inayoweza kufanya ripoti kusingwa hapa na pale.

Nafikiri ilitosha kutangaza Mwenyekiti na katibu wa kamati tu, vinginevyo inaweza kulazimika tena kuunda kamati ya kuwafuatilia walio kwenye kamati.
Kariakoo kuna risks nyingi sana. Ukiacha uimara wa majengo bado kuna ukosefu wa hewa kwenye vizimba. Ongezea msongamano wa watu na magari unaohatarisha afya ya akili.
 
Bora waachane na hilo zoezi.
Asilimia themanini ya maghorofa yote yaliyopo Dar yamejengwa chini ya kiwango.
Yanasimama kwa kudra za Mungu tu.
Namsihi Rais Samia asitishe uchunguzi kwa kuwa hana uwezo wa kuyabomoa maghorofa yote hayo ambayo yamejengwa chini ya kiwango.
 
Hakuna cha kamati wala kamatwa hapo ni janjajanja ya kutuliza hali ya hewa

Hii Nchi bado sana
 
Sijui ni lini serikali yetu itaaminika! Kila jambo lazima watu wawe na mashaka ila viongozi Wala hawashtuki.kama taifa tunahitaji ujenzi wa jamii mpya,niwakati wa kua zisha mitaala mipya ili watoto wetu wafundishwe uzalendo wakweli.kwa sisi wazaliwa wa Nyerere hadi mwanzoni mwa kikwete tulishakuwa corrupted!
 
Kamati ya kuchunguza majengo/ Maghorofa Kariakoo imetangazwa leo hadharani.

Wajumbe wote watakohusika katika kamati wamewekwa hadharani leo na Waziri Mkuu, hii inaweza kuwa kosa kubwa la kiufundi kwa sababu wenye majengo watakuwa wamepata fursa ya kuwajua wakaguzi na kujipanga mapema.

Katika kamati yenye wajumbe wengi hivyo sio rahisi kukosekana watu ambao wako tayari kufanya mazungumzo ya "kusaidiana" na wamiliki wa majengo nje ya kamati hali inayoweza kufanya ripoti kusingwa hapa na pale.

Nafikiri ilitosha kutangaza Mwenyekiti na katibu wa kamati tu, vinginevyo inaweza kulazimika tena kuunda kamati ya kuwafuatilia walio kwenye kamati.
Kwani ulipo sikia tamko la kuundwa kamati kama hiyo uliamini kuwa kutakuwepo na uchunguzi wa uhakika juu ya jambo hilo?
Bado nakumbuka ile mada yako fikirishi ya "Ukoloni"; halafu hapo hapo nashindwa kuelewa kama kweli mada hizi unapo zianzisha zitasaidia kupata uelewa wowote juu yake!

Hao walio tangazwa watafaidika na malipo watakayo pata pande zote, na walio wateuwa kufanya kazi hiyo na wao watakuwa wametimiza malengo yao. La muhimu hapa siyo matokeo ya kazi, bali mwonekano wa jambo/hatua kuchukuliwa.

Matalani: hao majengo yakikaguliwa na mengi yakaonekana kuwa na dosari; bado utategemea taarifa hiyo ikufikie wewe mwananchi?
 
Kwa umri wangu nimebakiwa na jukumu la kutumikia Kanisa tu 😀
Duh!
"Kutumikia Kanisa"?
Wewe, kutumikia kanisa?
Kuna mambo ya "kuigiza" yanayo fanyika huko kanisani?

Laaah! Inabidi kwa kweli niombe msamaha kwako kwa huku kuhukumu ninako kufanya hapa! Huyu Mungu niseme tu tunampa tafsiri zetu wenyewe, tunazoona zinafaa kuzitumia.
Hii mizaha mingi inayo fanyika humu JF; halafu tukisha toka hapa, tunakwenda kumweleza huyu Mungu wetu uchafu wote tulio wasambazia binaadam wenzetu siku nzima humu humu JF!!!

Hata sielewi nime andika nini hapa, leo! Bila shaka ni Mungu wetu huyu anaye ipenda sana CCM yetu hii sasa hivi ndiye anaye fanya miujiza yote hii.
 
Sikuhizi kamati nazoziamini na kuziheshimu ni kamati za harusi. Wanajua kukaza mchango utatoa tu🤣🤣
 
Kamati ya kuchunguza majengo/ Maghorofa Kariakoo imetangazwa leo hadharani.

Wajumbe wote watakohusika katika kamati wamewekwa hadharani leo na Waziri Mkuu, hii inaweza kuwa kosa kubwa la kiufundi kwa sababu wenye majengo watakuwa wamepata fursa ya kuwajua wakaguzi na kujipanga mapema.

Katika kamati yenye wajumbe wengi hivyo sio rahisi kukosekana watu ambao wako tayari kufanya mazungumzo ya "kusaidiana" na wamiliki wa majengo nje ya kamati hali inayoweza kufanya ripoti kusingwa hapa na pale.

Nafikiri ilitosha kutangaza Mwenyekiti na katibu wa kamati tu, vinginevyo inaweza kulazimika tena kuunda kamati ya kuwafuatilia walio kwenye kamati.
Uko sawa kabisa, mimi naona kwa tume inayochunguza jambo nyeti kama hili, hata M/kiti na Katibu hawakutakiwa kujulikana hadharani.
 
Kamati ya kuchunguza majengo/ Maghorofa Kariakoo imetangazwa leo hadharani.

Wajumbe wote watakohusika katika kamati wamewekwa hadharani leo na Waziri Mkuu, hii inaweza kuwa kosa kubwa la kiufundi kwa sababu wenye majengo watakuwa wamepata fursa ya kuwajua wakaguzi na kujipanga mapema.

Katika kamati yenye wajumbe wengi hivyo sio rahisi kukosekana watu ambao wako tayari kufanya mazungumzo ya "kusaidiana" na wamiliki wa majengo nje ya kamati hali inayoweza kufanya ripoti kusingwa hapa na pale.

Nafikiri ilitosha kutangaza Mwenyekiti na katibu wa kamati tu, vinginevyo inaweza kulazimika tena kuunda kamati ya kuwafuatilia walio kwenye kamati.
Kamati hizi huundwa kwa masilahi ya umma jambo la msingi hapo liwe matokeo ya uchunguzi yajulikane kwa umma, tumekuwa tukishuhudia tume nyingi zikiundwa nyuma ya mikamera majibu ya tume hizo nyuma ya pazia
 
1. Mmiliki wa Jengo yupo wapi?
NANI NI MMILIKI WAJENGO.
2. Ramani za jengo ziko wapi??
Uokozi bila Ramani.

3. Ghorofa nne watu wanaokolewa siku nne na sio moja. TAIFA LIMEOZA.

4. Selikali ipo Radhi kununua Mabomu, magali ya Jeshi nk kuizuia CHADEMA na Inashindwa KUNUNUA VIFAA VYA UOKOAJI kwa Raia wake.

5. Niffer amejipeleka Kituoni, Yuko wapi mmliki wa Jengo.

6. Je ni nani aliyetoa vibali vya kujenga na kubomoa anakamatwa Niffer.
TANZANIA YANGU MASIKINI

ZIMA MOTO NA UOKOAJI NI SAWA NA HAKUNA KITU ZERO KABISA.
JESHI LIVUNJWE HARAKA

MAJENGO MENGI KARIAKOO YAMEOZA ZAIDI YA 100 KWA MUJIBU WA REPORT YA LOWASA
 
Kamati ya kuchunguza majengo/ Maghorofa Kariakoo imetangazwa leo hadharani.

Wajumbe wote watakohusika katika kamati wamewekwa hadharani leo na Waziri Mkuu, hii inaweza kuwa kosa kubwa la kiufundi kwa sababu wenye majengo watakuwa wamepata fursa ya kuwajua wakaguzi na kujipanga mapema.

Katika kamati yenye wajumbe wengi hivyo sio rahisi kukosekana watu ambao wako tayari kufanya mazungumzo ya "kusaidiana" na wamiliki wa majengo nje ya kamati hali inayoweza kufanya ripoti kusingwa hapa na pale.

Nafikiri ilitosha kutangaza Mwenyekiti na katibu wa kamati tu, vinginevyo inaweza kulazimika tena kuunda kamati ya kuwafuatilia walio kwenye kamati.
Kwani Inji hii ni lazima kila mtu akule mlungura. ??????! 😳🙄
Wajameni kwahiyo kila mtu haaminiki ???!
Bandugu mimi naamini kujuana ni suala jengine na kazi ni suala jengine !
Kila mtu afanye Kazi yake ipasavyo bila kumuangalia mtu usoni !!
 
Kamati hizi huundwa kwa masilahi ya umma jambo la msingi hapo liwe matokeo ya uchunguzi yajulikane kwa umma, tumekuwa tukishuhudia tume nyingi zikiundwa nyuma ya mikamera majibu ya tume hizo nyuma ya pazia
Hii ndio point kuu katika huu mjadala 🙏🙏
 
Kamati ya kuchunguza majengo/ Maghorofa Kariakoo imetangazwa leo hadharani.

Wajumbe wote watakohusika katika kamati wamewekwa hadharani leo na Waziri Mkuu, hii inaweza kuwa kosa kubwa la kiufundi kwa sababu wenye majengo watakuwa wamepata fursa ya kuwajua wakaguzi na kujipanga mapema.

Katika kamati yenye wajumbe wengi hivyo sio rahisi kukosekana watu ambao wako tayari kufanya mazungumzo ya "kusaidiana" na wamiliki wa majengo nje ya kamati hali inayoweza kufanya ripoti kusingwa hapa na pale.

Nafikiri ilitosha kutangaza Mwenyekiti na katibu wa kamati tu, vinginevyo inaweza kulazimika tena kuunda kamati ya kuwafuatilia walio kwenye kamati.
Akili mtu wangu.

Bahasha zitembee mapema.
Hii ndio bongo
 
Wamefanya maksudi...hivi kumbe hii nchi hauijui?????
 
Kamati juu ya kamati, baada ya hapo watakaa kimya watangoja tena Jengo lingine liporomoke then watakuja na kamati tena
 
Back
Top Bottom