Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Ukweli mchungu, kama taifa inabidi tubadiri sera zetu na vipaumbele. Kugombea maji ya kutumia na viumbe Kama ndege ilihali tunaweza kuchimba deep well na kupata maji ya kutosha ni jambo lisilovumilika.
Tumesikia mto Ruvu maji yamepungua kina na kupelekea hatari ya mamilioni ya wakazi wa jiji la Dar es salaam kukosa maji ya uhakika. Tanzania Ina sub surface water ya kutosha na inabidi tuyavune maji hayo kwani ni ya uhakika na salama ukilinganisha na surface water.
Huwezi ukatandaza mambomba ya maji kutoka Mwanza Hadi Dodoma halafu ukajiona wewe mjanja hapana. Mkoa wa Dodoma una sub surface water ya kutosha tena aquifer ikiwa karibu zaidi.
Ni muda muafaka Kwa serikali kufanya tathimini juu ya mipango yake na kutoa kipaumbele kwenye maswala ya maji.