Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 333
- 1,261
Wakati Wizkid alipoanza kupata pesa, aliwaita kaka na dada zake wote kwenye kikao. Akawauliza kila mmoja anataka kufanya nini. Kila mmoja alitoa mpango wa biashara, naye akawapa mtaji mara mbili ya waliyoomba, kisha akawatakia kila la heri.
Wizkid alijua kwamba yeye ni mtu mwenye shughuli nyingi, na wakati mwingine ndugu zake wanaweza kuhitaji msaada lakini wakamkosa. Hakutaka wajihisi kama amewatelekeza baada ya kupata mafanikio, ndiyo maana aliamua kuwainua.
Ukipata pesa, usiwageuze ndugu zako kuwa kama wasaidizi wa nyumbani. Usiwaweke katika hali ya kuwa tegemezi kila siku.
Kuwa kama Big Wiz — Anza kwa kuwahudumia na kuwawezesha watu wa nyumbani kabla hujasaidia watu wa nje
Jambo la Kujifunza
Wawezeshe familia na watu wa karibu nawe. Kuwafanya wakutegemee kila siku si jambo zuri.
----------