Kutekwa Kwa Lema Ndani ya Ndege Kwa Ufunua Ubinafsi Wa Watanzania.

Misukule ya mzee Mbowe ina shida ya ulewe
Kuwaita watunmisukule siyo sawa Brother. Tukubali tu kuwa kuna watu tunaopenda kuhusishahusisha masuala bila kuyaangalia Kwa upekee wake.
 
Si wa kiwango cha Mzee Mbowe,Lema,Sugu na Wenje.
Mkuu hata kama umekosa hela, usikose hata akili basi, una dalili za Kimasikini sana yaani mtu kuwa na itikadi ya kisiasa tofauti na yako unamchukia???
Una tatizo sana Mkuu. Kosoa kwa kutoa hoja sio chuki. Hizo tabia za kuoneana wivu ni za Wanawake kwa Wanawake. Wewe dume zima unamchukia Mwanaume mwenzio uko serious kweli???
Change your mind
 
Kuwaita watunmisukule siyo sawa Brother. Tukubali tu kuwa kuna watu tunaopenda kuhusishahusisha masuala bila kuyaangalia Kwa upekee wake.
Huyo Makupa ana roho ya Kimasikini na ya kijinga sana. Halafu na yeye anaitwa Great Thinker. Ningekuwa na mamlaka humu JF ningepitisha filter mtu kama Makupa angekuwa anaishia kwenye majukwaa ya Chitchat na Kimasihara
 
Ukorofishane na watu halafu ulaumu wengine eti hawakuingilia ugomvi wako? KUMBAVU!!
 
Hiyo ni ishara watu wamegundua Lema hana umuhimu wowote...

Kariakoo na Mwanza, polisi walizuiwa kumkamata raia na hawahawa watanzania...

Nafikiri Lema ajiulize kwanini watu walidharau kukamatwa kwake then ajirekebishe.
 
Alitekwa kwasababu alikuwa anaandama kwenye ndege
 
Hivi huu uzi mbona wa kifala sana,unajuaje kama hayo maswali yako hayakufanyika?,umesikiriza upande wa pili? au unatembea na mdundo wa Lema space?,unamwamini huyo muhuni?

Eti wananchi wangepiga picha,picha ya nini?,serikali ukiitia kidole yenyewe inakuzamishia mkono wote hapo ndio utajua nani zaidi.

Si anatafuta umaarufu kwa nguvu?
 
Acha ujinga wewe chawa mpumbavu!
 
Usipo mind your own business utaenda kusaidia Polisi 😂😂
 
Wafanyakazi wa ATCL na Airport pamoja na abiria wanaakili kuliko yeye, yeye kwa ujinga wake ameona ametekwa ila ATCL wenye akili timamu walijua amekamatwa na ndo maana wakakaa kimya.
 
Siyo kila tukio la ukamataji ni utekaji.

..lakini kumkamata ndani ya ndege ni kukosa busara.

..ukamataji huo unatoa taswira mbaya kwa nchi, na kwa shirika letu la ndege ATCL.

..wangemkamata akiwa nje ya uwanja wa ndege.
 
..lakini kumkamata ndani ya ndege ni kukosa busara.

..ukamataji huo unatoa taswira mbaya kwa nchi, na kwa shirika letu la ndege ATCL.

..wangemkamata akiwa nje ya uwanja wa ndege.
Kitendo hicho kwa wenzetu waliostaarabika wanakihesabia Kama Mauaji ya kimaadili (Characters Assassination and Smear Campaign against the State and the whole system for Air Transport within the country). Ni kitendo cha kuua biashara na tasnia yote ya usafiri wa anga katika nchi
 
Polisi wa Tanzania ni very unprofessional na ndio maana wakikukamata na kukupeleka polisi basi wataishia kukuachia tu manake hawawezi kushinda kesi mahakamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…