The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Chama chao, kimya. Serikali, yao! Kunani? Kwanini mtufanya tuanze kubunia wakati mnaweza kujitokeza na kujibu. Wahusika, chonde chonde, jitokezeni mtuepushe na balaa na ukatili huu hata kama mnayofanyiana ni nyinyi kwa nyinyi maccm.
Au ni yale ya aliyoonya Henche kuwa kuna siku yatawakuta kama yalivyomkuta mwenzenu? Shaaame on youu!