Kutembewa na kitu mwilini

Nashukuru mkuu ..mawazo uliyonipa naanza kuyafanyia utaratibu..
 
Pole sana kwa matatizo. Ila kwa nilivyoelewa maelezo yako ni dhahili kabisa huo si ugonjwa bali ni michezo tu iliyo nyuma ya uwezo na upeo wa uelewa wa kibinadamu. Basi ni vizuri ukakazana kusimama nae sana katika maombi yanaweza kukusaidia nahakika.
 
Asante mkuu...
Dunia hii ....
Ngoja tujipange ..maana kuna vitendo hapa anafanya...hasomeki!
 
Mkuu waafrika tunachangamoto nyingi wakati mnasubir utaratbu wakutibiwa uyo mtoto iliuharibifu usiendelee zaid tafuteni mafuta ya mzeituni awe anapaka mwili mzma baada ya kuoga asubuhi na jioni...

Uyo mdudu ataachakutembea mwilini ila atakuepo umo umo,

NB Mimi sio mganga ilanilishapitia changamoto kama izo.. Mungu mkubwa
 
Mpelekeni hospitali haraka, kwani ameanza kujisikia hivyo lini?
 
Mpelekeni hospitali haraka, kwani ameanza kujisikia hivyo lini?
Ni wiki tatu sasa...alianza pole pole...lkn Jana ndio kaonyesha rangi zote!
Tupo njiani kwenda huko..
Halafu naongea sana kuliko kawaida. yake..yaani hasomeki...
 
asante mkuu...
lakini akiwepo mwilini si itakuwa ni risk hiyo?
hakui na kuzaliana humo..asije kuturikia na sisi tatizo menyewe!
 
Mmefanya vizuri, i am praying for him.

For him/her (anonymous gender).

BTW, hii kitu nakumbuka kuna jamaa tulikuwa tunasoma naye iliwahi kumtokea, tukawa tunamtania kwa kutaka kukikamata kitu cha namna hiyo.

Alikuja akaacha shule, alipona, akarudi darasa LA chini.
 
mmh!...
Kazi ipo...docta anasema haoni tatizo wakati kuna kitu kinatembea!
aaarg!
 
For him/her (anonymous gender).

BTW, hii kitu nakumbuka kuna jamaa tulikuwa tunasoma naye iliwahi kumtokea, tukawa tunamtania kwa kutaka kukikamata kitu cha namna hiyo.

Alikuja akaacha shule, alipona, akarudi darasa LA chini.
Hamkufanikiwa kujua ilikua ni shida gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…