Miti7
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 1,081
- 1,958
Niite mjuaji au niite jina lolote baya upendalo ila siku 1 utanikumbuka!!Sawa bwana mjuaji!
😀😀 Wingi unaanzia mbili. Una swali?
Sina muda. Unataka kuifanya hiyo kazi?
Sawa bwana bize! Jenga nuclear na Tanzania tuheshimike kama Putin!
Kweli site yako ina blog posts 2 halafu unapoteza muda hapa jf
Mmoja ya waasisi wa hii jf ana post zaidi ya 1000 hapa jf lakini wewe post 2 unasema ni nyingi na tayari umepata nafasi ya kusurf jf badala ya kuwa bize na site yako binafsi