Kutengeneza App kama hizi mbili natakiwa niwe na mtaji kiasi gani?

vipi kuhusu TUNZAA, ni app ya kibongo iliyotengenezwa na watanzania inafanya poa sokoni
MAXCOM alikuwa na 2 Zimbabweani (nawajua in and out) Developer wa App za MAXCOM ni Wahindi na wajua tena sana nna nna mpaka few email communications with this Developer kama unataka I can PM you their Discussions juu ya wao na MAXCOM
 
Kama ana laki 1 aseme nimtengenezee hiyo app mbele ya macho yenu hapa hapa

Na hanipi mimi hata mia

Nitamweleza namna ya kununua hosting na domain

Mfumo namfungia bure mbele ya macho yenu hapa hapa

Wasiwasi wangu ni kuwa hawezi kupata hela na app hiyo

Hiyo app ni sawa na ya kupatana

Inafanana pia na Amazon

Ni classified ads theme na naweza kupata ya bure au hata ya kulipia kuna sehemu naweza kuzichukua bure
 
Sasa kwanini zinakuwa Cheap na available kama hivyo alafu hawazi-Excute wengine namaanisha sikungekuwa na Kupatana nyingi sana au App zenye mfanano huo.
 
Kinacholeta hela siyo software

Naweza kukuundia Facebook ndani ya dakika 30 tu lakini usitegemee nitakuwa bilionea kama Mark Zuckerberg

Software zipo kibao mamilioni na mamilioni na nyingi zinapatikana bure

Kinacholeta hela ni uwezo wako wewe mmiliki kufanya hiyo software kuwa maarufu na itumike na watu wengi
 
Mbona hushangai kuona WordPress ni free na bado watu wapo bize hapa jf badala ya kuwa bize huko kwenye blog au website zao
 
Kinacholeta hela siyo software

Naweza kukuundia Facebook ndani ya dakika 30 tu lakini usitegemee nitakuwa bilionea kama Mark Zuckerberg

Software zipo kibao mamilioni na mamilioni na nyingi zinapatikana bure

Kinacholeta hela ni uwezo wako wewe mmiliki kufanya hiyo software kuwa maarufu na itumike na watu wengi
Unazungumzia 'Marketing' nimesoma sana hiki kitu.
 
Good

Kuunda site nyingine kama hii JamiiForums ni dakika 20 tu

Lakini mpaka iwe maarufu kama hii jf ya sasa ni muziki
 
Sasa kwanini zinakuwa Cheap na available kama hivyo alafu hawazi-Excute wengine namaanisha sikungekuwa na Kupatana nyingi sana au App zenye mfanano huo.
App za namna hiyo kupata hela siyo kazi rahisi hasa kwa Tanzania

Baba wa hizo app ni Amazon, eBay na alibaba

Ni kitu kimoja

Unategemea wafanyabiashara waje waweke bidhaa zao kwenye app yako ndiyo wewe uingize hela, shida ipo hivi ;

1. Wafanyabiashara wengi Tanzania hawajuwi kuhusu mtandao

2. Wafanyabiashara wengi Tanzania hawaaminiki (hatari kwa wewe mmiliki wa app)

3. Biashara ya mtandaoni bado ni changa Tanzania na wateja wengi wanahisi kutapeliwa wakifanya manunuzi kwa wafanyabiashara wa mtandaoni

4. Kama mmiliki wa app hiyo una uhakika gani wa kupata traffic ya uhakika kila siku na ikiwezekana iwe ni free traffic?

5. Wafanyabiashara wengi kwa sasa wanapendelea kuwa na App na website zao binafsi na siyo kwenda kujibaza kwa wengine ambako hawana udhibiti wowote wa biashara yao hiyo ya mtandaoni

NDIYO maana nilianza kwa Kumuuliza ana uhakika wa kiasi gani kama ataingiza hela na hiyo app?
 
Kama ana laki 1 aseme nimtengenezee hiyo app mbele ya macho yenu hapa hapa

Na hanipi mimi hata mia

Nitamweleza namna ya kununua hosting na domain

Mfumo namfungia bure mbele ya macho yenu hapa hapa

Wasiwasi wangu ni kuwa hawezi kupata hela na app hiyo

Hiyo app ni sawa na ya kupatana

Inafanana pia na Amazon

Ni classified ads theme na naweza kupata ya bure au hata ya kulipia kuna sehemu naweza kuzichukua bure
Wakati anasaka hiyo laki moja kuna link hapa FYI: Jiji Tanzania: Buy & Sell Online - Apps on Google Play
 
Facebook ndani ya dk 30? Huyo ni aidha malaika au kichaa!

Very right!
Facebook is a social network website

Kitu gani cha ajabu unafikiri kitasababisha ushindwe kuunda social network website ndani ya dakika 10 au hata 5?
 
Aisee.. Bongo sihami
 
Ili kupata maendeleo ni lazima tupende ku-support kazi za IT wa ndani, kinachowaponza watu ni bei Hakuna bidhaa bora kwa bei ndogo, ukitoa pesa ndogo lazima upate bidhaa kulingana na Bei,

Tanzania Kuna developers wengi na bora, wengi wao wanafanya kazi na watu wa nje kutokana na maslahi
 
Back
Top Bottom