Sawa acha ninyamaze pia. Nimekuonyesha sampuli ya kitu Wabongo wanaweza fanya. Naona ume ignore.
But nikwambie tu kuwa hata huko India kuna tatizo. Nimewahi shuhudia project imefanywa na mbongo, jamaa wakaamua kutumia wahindi... kufupisha stori ni kuwa project haikuendelea beyond alipoiacha mbongo. Na waliishia ku terminate contract.
Nadhani pamoja na ma IT wa Bongo kuwa sifuri, hawajui, na pamoja na kuwa hakuna software za maana zilizotengenezwa Bongoland na Wabongo, kuna haja ya kupunguza emotions kwenye hili na kuwa logical. Unasema Wakenya ndio wanaweza, muulize
MK254 kama kenya hakuna wakora wa IT. Kila nchi ina matapeli na kila nchi ina wataalam wazuri.... Except Bongoland of course ambayo IT wake ni sifuri, zero kabisa
😉