Kutengeneza App kama hizi mbili natakiwa niwe na mtaji kiasi gani?

Kutengeneza App kama hizi mbili natakiwa niwe na mtaji kiasi gani?

Km nimemwelewa vizuri,jamaa atakuwa anamaanisha app inaweza kuwa ya kizawa kbs Ila hakuna App iliyotengenezwa na mzawa ikafanya vizuri sokoni,ndy akazitolea mifano hizo alizotaja

Vp kuhusu maxmalipo ilitengenezwa hapa hapa bongo na wazawa? Au bongo ilikuja kuzinduliwa Tu?
Maxmalipo App imetengenezwa na Indian Company hapa imezinduliwa tu
 
What about this boss?

And it is not the only Software made in Bongo!

Nimeamua kunyamaza ila kuna mengi ya kusema hapa!

Ulishawahi kufanya kazi pale au unaongea from theoretical experience?
Nimeshawai kufanya kazi pale- nnaongea haya from my expirience sijiropokei! Nnajua nini kipo uwezo tulionao Watanzania kwenye ishu za IT na Tunakwama wapi kama Taifa.
 
Sawa acha ninyamaze pia. Nimekuonyesha sampuli ya kitu Wabongo wanaweza fanya. Naona ume ignore.
But nikwambie tu kuwa hata huko India kuna tatizo. Nimewahi shuhudia project imefanywa na mbongo, jamaa wakaamua kutumia wahindi... kufupisha stori ni kuwa project haikuendelea beyond alipoiacha mbongo. Na waliishia ku terminate contract.

Nadhani pamoja na ma IT wa Bongo kuwa sifuri, hawajui, na pamoja na kuwa hakuna software za maana zilizotengenezwa Bongoland na Wabongo, kuna haja ya kupunguza emotions kwenye hili na kuwa logical. Unasema Wakenya ndio wanaweza, muulize MK254 kama kenya hakuna wakora wa IT. Kila nchi ina matapeli na kila nchi ina wataalam wazuri.... Except Bongoland of course ambayo IT wake ni sifuri, zero kabisa 😉
 
As minima:
Web Platform: 10 - 15mil
API: 3 - 5mil depending na operations zipi kwenye web platform zinakuwa kwenye mobile app
Android App: 7 - 15mil depending on APIs
iOS app: 7 - 15 mil depending on APIs
Mkuu naomba kujua maana ya hii abbreviation API..Hapa umeniacha kidogo
 
What about this boss?

And it is not the only Software made in Bongo!

Nimeamua kunyamaza ila kuna mengi ya kusema hapa!

Ulishawahi kufanya kazi pale au unaongea from theoretical experience?
Bwana Mtangoo (jina kama la jamaa tulikuwaga nae DIT na Late Mwalembe😁(RIP) ???Vijana wana IT wa Tanzania hii kitu mpaka leo wamezalisha Marketable APP ngapi?? NMB Bank API SandboxIntroduction. Maana NMB inasubiria kuwajaza Maela ma IT wa TZ wapo wapi?? Kuchangamkia Fursa😂😂😭 hii ya NMB inafuata all Software Desing Requirements including the hardest part in Banking App and System Design. EMV Certifications😂😂 EMV certifications App yako ikipass wewe ni Kidume kwenye Software /APP making! Show me Mbongo ambae ni Developer mwenye EMV certified App au Software😃
 
Mkuu naomba kujua maana ya hii abbreviation API..Hapa umeniacha kidogo
API - Application Programming Interface. Take it kama mkalimani kati ya Backend database na business logic na Mobile app au Front End JS frameworks. Mobile app haina uwezo wa kuhifadhi, ku process data moja kwa moja kwenye server. Bali inatuma maombi husika kwenye server via API. API inayafanyia kazi na kurudisha majibu kwa namna ambayo ni unchanging. That way Mobile app et al, iaweza kuongea na server!
 
Bwana Mtangoo (jina kama la jamaa tulikuwaga nae DIT na Late Mwalembe😁(RIP) ???
Alikuwa ndugu yangu boss. Kwa sasa ni marehemu

Vijana wana IT wa Tanzania hii kitu mpaka leo wamezalisha Marketable APP ngapi??
Kitu ambacho unasahau, mazingira ya kwetu hayaruhusu growth ya small business. As someone in private business since 2011, naweza kukwambia kwa hakika, vijana wengi wamekimbia kujiajiri sio kwa kushindwa kudevelop apps na idea marketable but waliona mtiti kuendesha biashara bongo. Wakaona isiwe tabu wakaenda kuajiriwa. So it is more of biz environment kuliko kutokuwa na uwezo wa kuandika code. Business is far bigger thing than writing great code.

NMB Bank API SandboxIntroduction. Maana NMB inasubiria kuwajaza Maela ma IT wa TZ wapo wapi??
Sio kweli. Unanilazimisha niseme kitu sitaki kusema. Shindwa kwa Jina la Yesu!

Kuchangamkia Fursa😂😂😭 hii ya NMB inafuata all Software Desing Requirements including the hardest part in Banking App and System Design. EMV Certifications😂😂 EMV certifications App yako ikipass wewe ni Kidume kwenye Software /APP making!
Nakemea, shindwa...!
Ila waambie jamaa zako hawa kuwa .... nanyamaza kwa Jina la Yesu. Unanitia majaribuni. Sisemi!
Show me Mbongo ambae ni Developer mwenye EMV certified App au Software😃
Zipo ni Corporate na zina NDA. Tatizo mnataka watu wapigwe faini.
Software za Corporates zote zina NDA!
 
Zero kabisa 😅😅😅
Nilichogundua mpaka sasa uwezo wa ng'ombe katika masuala ya IT hauna tofauti na uwezo wa IT wa ma-IT wetu wa bongo. Wote ni sifuri😆
images (62).jpeg
 
Mbona ni rahisi sana na unaweza kufanya mwenyewe kwa gharama isiyozidi laki 3

Mnapenda complicate mambo wakati ni vitu vya kitoto kabisa

Mimi naweza kukusaidia bure kabisa lakini nieleze kwa undani kama una uhakika utaingiza hela na hii app unayotaka

Nakuelekeza bure mhimu uwe na computer, ujuwe kutumia computer na unafahamu kiingereza

Gharama zisizoepukika hapo ni hizi 3 zifuatazo tu

1. Hosting ya website yako
2. Hosting ya app yako kwenye Google na kwenye app store
3. Domain name

Vingine vyote tofauti na hivyo vitatu unaweza kupata BURE
 
Wewe ni IT wa Bongo? Au nchi gani?
 
Assume Database na Biz logic ni Wahindi, halafu Mobile app n Wabongo. Mbongo anajua kiswahili na Mhindi anajua Kihindi tu. Then ili wafanye kazi pamoja inabidi uwe na mkalimani. API ni mkalimani .... in layman language!
I feel u man!!
 
Mbona ni rahisi sana na unaweza kufanya mwenyewe kwa gharama isiyozidi laki 3

Mnapenda complicate mambo wakati ni vitu vya kitoto kabisa

Mimi naweza kukusaidia bure kabisa lakini nieleze kwa undani kama una uhakika utaingiza hela na hii app unayotaka

Nakuelekeza bure mhimu uwe na computer, ujuwe kutumia computer na unafahamu kiingereza

Gharama zisizoepukika hapo ni hizi 3 zifuatazo tu

1. Hosting ya website yako
2. Hosting ya app yako kwenye Google na kwenye app store
3. Domain name

Vingine vyote tofauti na hivyo vitatu unaweza kupata BURE
Mkuu nadhani hapo kwenye laki 3 umetype vibaya
 
Back
Top Bottom